KILICHO WAGHALIMU BARCA NA AJAX NI LIGI WANAZOTOKA

Nyie mnaosema Ajax katangazwa bigwa wakati ligi yao bado match na wako sawa point na PSV mnajielewa kweli
 
Mnapozungumzia ushindani nashindwa kuwaelewa kabisa, Man City anakusanya vikombe vyote mezani vya ndani ya nchi, na ligi anabeba kwa mara ya pili mfululizo huku akiweka rekodi za kufunga mabao mengi. Huo Ushindani upo Wapi?
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.
 
Mkuu wewe ni EPL fan ndio mana. Kwa wasiokua EPL fans achilia wolve hata Arsenal na Man Utd kuzitizama ni kujichosha. HUjalazimishwa kutizama La Liga tuachie wenyewe tutizame.
Mabonaza!! Hahahaaa! Wazee wa azam tv...!
 
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.
Barcelona amecheza mechi 36 Ana points 83 Goal difference 52...Huesca wa mwisho La liga amecheza 36 Ana points 30 Goal difference -22
Man City
amecheza mechi 37 Ana points 95 Goal difference 69...Huddersfield wa mwisho Epl amecheza mechi 37 Ana points 15 Goal difference -54.
kwa haraka haraka tu utaona hapo kuwa Epl ligi imelala upande mmoja haijabalance...hapo nimefupisha tu tafuta table ujionee mwenyewe utofauti uliopo kati ya timu za juu na za chini za Epl na La liga.
 
We nae..
 
Wabongo kazi kusifia vya wenzao wakati yakwao yamewashinda.
Mnakalia kubishana ligi za wenzenu wakati za kwenu chaliii.
Pathetic
 
Kuna jambo hapo sijakupata mkuu sasa kama ni hivyo why darasa A kila miaka mingi kombe lipo kwao tuu na wakati huwa wanakutana na darasa B? Hapo ndipo utaweza tofautisha pamoja na kwamba La Liga Ina madrid barca na ATM lakini ndizo timu zinazoipa ubora la LaLiga kwa kubeba UCL muda mwingi.
 
Agizia wine yoyote hapo Kempinsky bili nalipia mkuu, you naired everything bro,bravooo
 
Ligi haijaisha wewe... Na hata kama city atabeba,atampita liverpool ponti moja tu,huo ndio ushindani,sasa itally juve katangazwa ubingwa kwa gape la point 20 na bado ana michezo kama mitatu hivi.. Huoni tofauti hapo.

Kwaiyo ushindani ni kua kampita Liverpoll kwa point moja msimu huu? msimu ulipita je aliwaacha kwa point ngapi?
Sioni tafauti kati ya City na PSG au Juventus mana wote wanamaliza ligi na 90+ points, hiyo yote ni kuonesha jinsi gani amezinyanyasa timu zengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…