Kilichobaki tunaiachia "Klopp Curse" ifanye kazi yake

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Sisi wahafidhina tumesikitishwa sana na matokeo ya jana ambapo Leo Messi na timu yao Barcelona imewapeleka Liverpool fainali kwa uzembe wao.

Matatizo yote yalianzia mechi ya kwanza, wakati wa dakika za mwisho pale Dembele alipokosa goli la wazi kabisa akiwa kabaki na golikipa Alisson Becker.

Liverpool itatoka kapa kwenye fainali kwa kile kinachoitwa "The Klopp Curse" yaani laana ya Klopp ambaye ni kocha wa Liverpool.

Kwa miaka ya karibuni huyu ndiye kocha aliyeingia fainali nyingi za vikombe lakini anaishia kufungwa, hii "The Klopp Curse" imekuwa ikifanya kazi tangu akiwa Dorrmund.

Tayari ameshapoteza fainali kubwa mbili za Uefa, moja mwaka jana dhidi ya Real Madrid na nyingine mwaka 2013 dhidi ya Bayern Munich.

Mimi naamini baada ya filimbi ya mwisho katika mchezo wa Fainali pale Wanda Metropolitano, Liverpool itakuwa katika upande wa waliopoteza, huku Ajax au Spurs ambaye mmoja wapo ataingia Fainali watakuwa wanashangilia na kwenda kuvaa medali za Uefa.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri!
 
Mimi shabiki wa Man U.

Lakini naziona options mbili. Ngumu kama ilivyokuwa Liverpool kuifunga Barca 4 bila.

Option ya kwanza, Liverpool watatoka kapa msimu huu.

Option ya pili, Liverpool atatoka na double ya UEFA Champions League na Bingwa wa EPL.
 
Option ya Kwanza ndio sahihi.
 
Laana ya kupindua matokeo dhidi ya PSG kwa magoli 5-0 ya mbeleko hadi Kocha aliadhibiwa ndiyo yanayoitafuna Barcelona[emoji23]
 
Sisi wahafidhina tumesikitishwa sana na matokeo ya jana ambapo Leo Messi na timu yao Barcelona imewapeleka Liverpool fainali kwa uzembe wao.

Matatizo yote yalianzia mechi ya kwanza, wakati wa dakika za mwisho pale Dembele alipokosa goli la wazi kabisa akiwa kabaki na golikipa Alisson Becker.

Liverpool itatoka kapa kwenye fainali kwa kile kinachoitwa "The Klopp Curse" yaani laana ya Klopp ambaye ni kocha wa Liverpool.

Kwa miaka ya karibuni huyu ndiye kocha aliyeingia fainali nyingi za vikombe lakini anaishia kufungwa, hii "The Klopp Curse" imekuwa ikifanya kazi tangu akiwa Dorrmund.

Tayari ameshapoteza fainali kubwa mbili za Uefa, moja mwaka jana dhidi ya Real Madrid na nyingine mwaka 2013 dhidi ya Bayern Munich.

Mimi naamini baada ya filimbi ya mwisho katika mchezo wa Fainali pale Wanda Metropolitano, Liverpool itakuwa katika upande wa waliopoteza, huku Ajax au Spurs ambaye mmoja wapo ataingia Fainali watakuwa wanashangilia na kwenda kuvaa medali za Uefa.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri!
we jamaa nakuona ramuli zako zinakupoteza mkuu, najua hayo yoote ni sabb ww na team yako ya kichovu barcelona mmefurumshwa, Hilo ni dua la kuku bro. Kumbuka mwamuzi wa mwisho ni dakika 90". And #ThisMeansMore
 
Mimi shabiki wa Man U.

Lakini naziona options mbili. Ngumu kama ilivyokuwa Liverpool kuifunga Barca 4 bila.

Option ya kwanza, Liverpool watatoka kapa msimu huu.

Option ya pili, Liverpool atatoka na double ya UEFA Champions League na Bingwa wa EPL.
Mkuu option moja imeshafeli, ya pili inatimia leo
 
we jamaa nakuona ramuli zako zinakupoteza mkuu, najua hayo yoote ni sabb ww na team yako ya kichovu barcelona mmefurumshwa, Hilo ni dua la kuku bro. Kumbuka mwamuzi wa mwisho ni dakika 90". And #ThisMeansMore
Usiku wa deni haukawii kukucha
 
Sisi wahafidhina tumesikitishwa sana na matokeo ya jana ambapo Leo Messi na timu yao Barcelona imewapeleka Liverpool fainali kwa uzembe wao.

Matatizo yote yalianzia mechi ya kwanza, wakati wa dakika za mwisho pale Dembele alipokosa goli la wazi kabisa akiwa kabaki na golikipa Alisson Becker.

Liverpool itatoka kapa kwenye fainali kwa kile kinachoitwa "The Klopp Curse" yaani laana ya Klopp ambaye ni kocha wa Liverpool.

Kwa miaka ya karibuni huyu ndiye kocha aliyeingia fainali nyingi za vikombe lakini anaishia kufungwa, hii "The Klopp Curse" imekuwa ikifanya kazi tangu akiwa Dorrmund.

Tayari ameshapoteza fainali kubwa mbili za Uefa, moja mwaka jana dhidi ya Real Madrid na nyingine mwaka 2013 dhidi ya Bayern Munich.

Mimi naamini baada ya filimbi ya mwisho katika mchezo wa Fainali pale Wanda Metropolitano, Liverpool itakuwa katika upande wa waliopoteza, huku Ajax au Spurs ambaye mmoja wapo ataingia Fainali watakuwa wanashangilia na kwenda kuvaa medali za Uefa.

Siku zote muda ni mwalimu mzuri!

IMG_5171.JPG
 
Back
Top Bottom