B⦠bwana acha maneno yako ya Kiswahili hayo.Hii ina-sound kama vile unasema mzazi naye huwa anakosea mara ngapi, mbona wanawe hawachukui fimbo kumtandika bakora.
Ova
Acha ujinga nimechekaaaaaa! LolsMtu huonywa sawasawa na uzembe wake b..., ukifanya uzembe mkubwa utakoromewa vivyo hivyo. Ng'ombe huchinjwa kwa namna anavyolala.
Ova
Makocha wangu wote hawakuwahi kuwaelekeza makipa kusukuma mabeki zao kishari.Labda hujui soka mkuu. Mimi nazungumzia tukio la jana la Salim siyo la kupigana. Na kama Salim angekuwa amepigana na Che Malone angepewa kadi nyekundu.
Ova
Sio kazi yako wewe kama kipa, kocha akiona anazingua atamtoa.Ni sahihi, jamaa anafanya uzembe na makosa mengi na ndio maana ni nadra sana Simba kuwa na clean sheet. Ilitakiwa afokewe vile vile.
Mkuu kila zama na wakati wake wakati huo ilikuwa inafaa ila kwa sasa njia hiyo haifai huu sio zama za ujima.Nyinyi ndama wa miaka ya 2000 hamna mnachojua, waulizeni baba zenu waliyomuona Juma pondamali alivyokuwa, siyo tu kuwafokea, bali hata kuwapiga makofi mabeki wake,huku kwetu Tegeta, timu yetu ya mtaani VIA, alikuwepo golikipa Mohamedi "mtambo", aliwafokea sana mabeki wake, hii ilisaidia sana kupunguza makosa kwa mabeki wake. Ali salimu yupo sawa tu. Peter schemaichel, bufforn na oliver khan, waliwafokea sana mabeki wao
Huna ujuacho dogo kuhusu Mpira. We endelea kujadili na kumshangilia Dayamond, Mwijaku na baba leo bila kumsahau PaulaπππππSio kazi yako wewe kama kipa, kocha akiona anazingua atamtoa.
Sio kujitia uhodari wa kuanza kutaka kupiga wenzio.
Na bora angefanya hivyo kipa wa maana, sasa katoro?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanoute na zile hasira, mbna atampasua uso.Ngoja aje aingie kwenye anga za Kanote alete ufala kama jana aone kama haja chakaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule ni silent killer.Yule Kanote namuonaga mpole huwa nashangaa anapewa vipi red kila uchwao?
Huwa ananishangaza kweli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yule jamaa ni mpole lakini ukiingia kwenye anga zake hashikiki hata wachezaji wenzie wana mjua utofauti wake na nyoso ni Nyoso anapuliza moshi wakati kanote ni mwana dini.
Che malone alitumia hekima sana, hakupanic,nimemkubali sana utulivu wake, pamoja na kusukumwaTena bora hata ange msukuma mara moja tu tumgesema labda ni bahati mbaya lakini ali msukuma zaidi ya mara 3 licha ya juhudi za Che malone kujaribu kumuepuka lakini dogo alikuwa anazidi kumfuata huku akimusukuma pamoja na hilo mshikaji alichukulia poa na hilo tukio hali kumtoa mchezoni.
kwa hiyo kipa anaruhusiwa kumsukuma kwa nguvu beki wake akikosea?Labda hujui soka mkuu. Mimi nazungumzia tukio la jana la Salim siyo la kupigana. Na kama Salim angekuwa amepigana na Che Malone angepewa kadi nyekundu.
Ova
Mpira wa zamani sio sawa na sasa hivi, tueleze ni lini umeona kipa anamsukuma beki wake vile?Nyinyi ndama wa miaka ya 2000 hamna mnachojua, waulizeni baba zenu waliyomuona Juma pondamali alivyokuwa, siyo tu kuwafokea, bali hata kuwapiga makofi mabeki wake,huku kwetu Tegeta, timu yetu ya mtaani VIA, alikuwepo golikipa Mohamedi "mtambo", aliwafokea sana mabeki wake, hii ilisaidia sana kupunguza makosa kwa mabeki wake. Ali salimu yupo sawa tu. Peter schemaichel, bufforn na oliver khan, waliwafokea sana mabeki wao
Huna ujuacho dogo kuhusu Mpira. We endelea kujadili na kumshangilia Dayamond, Mwijaku na baba leo bila kumsahau Paulaπππππ
Kusukuma ni tafsiri yenu tu, lakini alichofanya pale ni kumkemea kwa uzembe. Na ilisaidia alipunguza mno makosa ya kizembe.kwa hiyo kipa anaruhusiwa kumsukuma kwa nguvu beki wake akikosea?
Kwenye soka mchezaji bora ni m mwenye makosa machache, so hata yeye hufanya makosa.B⦠bwana acha maneno yako ya Kiswahili hayo.
Mfano huo unafit vipi hapa?
Ila ujue namkubali sana Malone? Ndiye mchezaji pekee pale Simba nafurahi kumuangalia.
Na katika hili kapandisha daraja lake kwangu ππ½ππ½
Sawa kaka bβ¦Kwenye soka mchezaji bora ni m mwenye makosa machache, so hata yeye hufanya makosa.
Mfano ni kwamba utaonywa kulinga na namna ulivyokosea. Kwa kosa kubwa utakemewa kwa ukali zaidi.
Ova