Kilichofanywa na Ali Salim dhidi ya Che Malone ni ushamba na ujinga

Hii ina-sound kama vile unasema mzazi naye huwa anakosea mara ngapi, mbona wanawe hawachukui fimbo kumtandika bakora.

Ova
B… bwana acha maneno yako ya Kiswahili hayo.
Mfano huo unafit vipi hapa?

Ila ujue namkubali sana Malone? Ndiye mchezaji pekee pale Simba nafurahi kumuangalia.
Na katika hili kapandisha daraja lake kwangu 👏🏽👏🏽
 
Mtu huonywa sawasawa na uzembe wake b..., ukifanya uzembe mkubwa utakoromewa vivyo hivyo. Ng'ombe huchinjwa kwa namna anavyolala.

Ova
Acha ujinga nimechekaaaaaa! Lols

Wewe mbona wakati ule tumekukoromea ulilalamika kwa uzembe wako mkubwa ulioufanya?
Na tulikuchinja kwa namna ulivyolala. Lols
 
Nyinyi ndama wa miaka ya 2000 hamna mnachojua, waulizeni baba zenu waliyomuona Juma pondamali alivyokuwa, siyo tu kuwafokea, bali hata kuwapiga makofi mabeki wake,huku kwetu Tegeta, timu yetu ya mtaani VIA, alikuwepo golikipa Mohamedi "mtambo", aliwafokea sana mabeki wake, hii ilisaidia sana kupunguza makosa kwa mabeki wake. Ali salimu yupo sawa tu. Peter schemaichel, bufforn na oliver khan, waliwafokea sana mabeki wao
 
Labda hujui soka mkuu. Mimi nazungumzia tukio la jana la Salim siyo la kupigana. Na kama Salim angekuwa amepigana na Che Malone angepewa kadi nyekundu.

Ova
Makocha wangu wote hawakuwahi kuwaelekeza makipa kusukuma mabeki zao kishari.
Ila waliwaelekeza kuongea na Mabeki zao.
Team gani umecheza utotoni mkuu?
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Ni sahihi, jamaa anafanya uzembe na makosa mengi na ndio maana ni nadra sana Simba kuwa na clean sheet. Ilitakiwa afokewe vile vile.
Sio kazi yako wewe kama kipa, kocha akiona anazingua atamtoa.
Sio kujitia uhodari wa kuanza kutaka kupiga wenzio.
Na bora angefanya hivyo kipa wa maana, sasa katoro?
 
Nyinyi ndama wa miaka ya 2000 hamna mnachojua, waulizeni baba zenu waliyomuona Juma pondamali alivyokuwa, siyo tu kuwafokea, bali hata kuwapiga makofi mabeki wake,huku kwetu Tegeta, timu yetu ya mtaani VIA, alikuwepo golikipa Mohamedi "mtambo", aliwafokea sana mabeki wake, hii ilisaidia sana kupunguza makosa kwa mabeki wake. Ali salimu yupo sawa tu. Peter schemaichel, bufforn na oliver khan, waliwafokea sana mabeki wao
Mkuu kila zama na wakati wake wakati huo ilikuwa inafaa ila kwa sasa njia hiyo haifai huu sio zama za ujima.
 
Sio kazi yako wewe kama kipa, kocha akiona anazingua atamtoa.
Sio kujitia uhodari wa kuanza kutaka kupiga wenzio.
Na bora angefanya hivyo kipa wa maana, sasa katoro?
Huna ujuacho dogo kuhusu Mpira. We endelea kujadili na kumshangilia Dayamond, Mwijaku na baba leo bila kumsahau Paula😀😃😄😁😆
 
Makipa wote wakubwa Huwezi kuta Wana matabia ya kufoka foka Kama koboko.... Hi mitabia ya kurithi toka uswahilini.

Kuna Namna ya kuongea na sio kumshambulia mchezaji mwenzio wa Timu Moja.
 
Ngoja aje aingie kwenye anga za Kanote alete ufala kama jana aone kama haja chakaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kanoute na zile hasira, mbna atampasua uso.
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Yule jamaa ni mpole lakini ukiingia kwenye anga zake hashikiki hata wachezaji wenzie wana mjua utofauti wake na nyoso ni Nyoso anapuliza moshi wakati kanote ni mwana dini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena bora hata ange msukuma mara moja tu tumgesema labda ni bahati mbaya lakini ali msukuma zaidi ya mara 3 licha ya juhudi za Che malone kujaribu kumuepuka lakini dogo alikuwa anazidi kumfuata huku akimusukuma pamoja na hilo mshikaji alichukulia poa na hilo tukio hali kumtoa mchezoni.
Che malone alitumia hekima sana, hakupanic,nimemkubali sana utulivu wake, pamoja na kusukumwa
 
  • Thanks
Reactions: ITR
Labda hujui soka mkuu. Mimi nazungumzia tukio la jana la Salim siyo la kupigana. Na kama Salim angekuwa amepigana na Che Malone angepewa kadi nyekundu.

Ova
kwa hiyo kipa anaruhusiwa kumsukuma kwa nguvu beki wake akikosea?
 
Nyinyi ndama wa miaka ya 2000 hamna mnachojua, waulizeni baba zenu waliyomuona Juma pondamali alivyokuwa, siyo tu kuwafokea, bali hata kuwapiga makofi mabeki wake,huku kwetu Tegeta, timu yetu ya mtaani VIA, alikuwepo golikipa Mohamedi "mtambo", aliwafokea sana mabeki wake, hii ilisaidia sana kupunguza makosa kwa mabeki wake. Ali salimu yupo sawa tu. Peter schemaichel, bufforn na oliver khan, waliwafokea sana mabeki wao
Mpira wa zamani sio sawa na sasa hivi, tueleze ni lini umeona kipa anamsukuma beki wake vile?
 
Yanga utawajua tu mbumbumbu wakubwa,kipa asiyezungumza na kuzingua wachezaji hatakiwi kwenye modern football.Tena haka kajamaa Ndio Tz one ajaye.
 
kwa hiyo kipa anaruhusiwa kumsukuma kwa nguvu beki wake akikosea?
Kusukuma ni tafsiri yenu tu, lakini alichofanya pale ni kumkemea kwa uzembe. Na ilisaidia alipunguza mno makosa ya kizembe.

Ova
 
B… bwana acha maneno yako ya Kiswahili hayo.
Mfano huo unafit vipi hapa?

Ila ujue namkubali sana Malone? Ndiye mchezaji pekee pale Simba nafurahi kumuangalia.
Na katika hili kapandisha daraja lake kwangu 👏🏽👏🏽
Kwenye soka mchezaji bora ni m mwenye makosa machache, so hata yeye hufanya makosa.

Mfano ni kwamba utaonywa kulinga na namna ulivyokosea. Kwa kosa kubwa utakemewa kwa ukali zaidi.

Sawa kaka b…
 
Back
Top Bottom