Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,359
- 6,568
Ishatokea kwa Petr Cech na Ivanovic...walisukumana nusu ya kuzichapa ila baada ya game mambo yote yanakuwa shwari.Laiti kama mtoa uzi ungekuwa unajua mambo yanayotokea ndani ya vyumba vya kubadilishia nguo usingetoa post ya kishamba kama hiyo
Si ndio hapo sasaMakocha wangu wote hawakuwahi kuwaelekeza makipa kusukuma mabeki zao kishari.
Ila waliwaelekeza kuongea na Mabeki zao.
Team gani umecheza utotoni mkuu?
Ww naye ni ndina kuna aliye mkataza kuongea hapa?Yanga utawajua tu mbumbumbu wakubwa,kipa asiyezungumza na kuzingua wachezaji hatakiwi kwenye modern football.Tena haka kajamaa Ndio Tz one ajaye.
Si ndo hapo sasa sisi tunamshauri dogo kwa faida na usalama wake mwenyewe ili asije kuingia kwenye anga mbaya kwa ajili ya ufala wake.Wewe ndio mshamba
Huyo cech sio ally
Hapa tunazungumzia Ally . Alichofanya sio sahihi na sio salama hata kwa upande wake , ajifunze kubeba responsibility zake
Stop non sense justification
AngewezA kusababisha tukio la aibu pale kama sio busara za malone
Tumia akili yako vema
Ally salimu asingekubali kufungwa goli la kmc la tatu aendelee kuwafokea mabeki ni wazembe ikibidi awachape kofiNi jambo la kawaida
Kipa anafokea mabeki kuwakumbusha hukumushudia Buffon alivokuwa kama simba akiwafokea mabeki
Nimependa passion yake
Sent using Jamii Forums mobile app