Kilichoiponza Yanga ni ile kuambiwa wao ni Club ya 3 kwa Ubora Afrika

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Kuna rank ya kipuuzi iliyotolewa na watu wanaoitwa IFFHS sijui kama nimekosea jina, jamaa hawajui kabisa mpira

Nilivyoona ile list mimi nikajichekea tu, mashabiki wasiokuwa na uelewa wakashadadia kweli kuwa timu yao ni ya 3 kwa ubora Afrika, wakati hata haijawahi kushiriki klabu bingwa kwa miaka 25, v

Imeenda Algeria ikijiamini ni ya 3 kwa ubora Afrika na kucheza kama wao ndio timu bora na CRB ndio underdog, matokeo yake ndio hayo, underdog halisi akajulikana


Sasa hivi wanatamani warudi Shirikisho wakavae tena medali
 
Ndiyo maana wapigwa vitatu wanaipenda sana hiyo namba
 
Mbona hata shirikisho mechi ya kwanza Yanga walifungwa ugenini mbili bila
 
Na hapo hawajakutana na mamelody waliyoipita kwenye rank za Caf kweli wale ni utopolo.
 
Kilicho iponza mikia leo ni nini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…