Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Shoga huu ubuyu wa uzee wa Zari natafuta pa kuumung'unyia nakosa!
Yani leo kutwa nzima nimeshika mdomooooo!
Jamani Zari kazeekaje? Uwiiiiiiiii

Na sio leo tu,tokea walipoenda clouds picha zilizua kizaazaa,makeup anajaza usoni lakini wapi!
Looh shkmoo filters.[emoji13] [emoji119]
 
Weee basi navomuonaga najua yupo kama bint wa miaka 12 mwenzenu... Had nikijiangaliaga kwenye kioo najiona me mzee wakat yeye kanizid umr
 
Hapana sijapenda walivomsuka mtoto.... Sio msuko wa kitoto uo. Zari angejiremba kawaida angeoendeza san... Niliona vedio aliyoenda kuhojiwa clouds kwa ajil ya hii 40 pake alionekana mrembo sana kuliko hata apa.
Kaongezwa mi foundation na joto hili la Dar basi ikawa iko vibaya
 
Ushauri mzuri utatuponza mwenzangu. Tuwaache yakiwakuta watalia wenyewe(huku wanajilaumu kwann hawakutusikiliza)
nimeshushuliwa mwenzio nimeambiwa mpk first world wanasuka

kila mzazi na maamuzi yake
shoga angu tukae kimyaa....
 
Kaonekana mtu mzima mashavu sijui yameshuka nilivo mwona clouds loh bora anenepe akikonda mashavu ni shida
 
Jamani Watanzania wabayaaaa!Mmemcheka mama wa watu meno yake hadi kaamua kuweka chuma kwenye meno na uzee wote ule!
Looooh ndio maana njaa imetukumba,sio kwa laana hizi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Jamani Watanzania wabayaaaa!Mmemcheka mama wa watu meno yake hadi kaamua kuweka chuma kwenye meno na uzee wote ule!
Looooh ndio maana njaa imetukumba,sio kwa laana hizi!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaaaaaaa zari ana hela siakayatengeneze tu vzuri maana wabongo nao wakishupalia mapungufu mweeeh hadi maskini Dada wa watu huwa hajiamini loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…