Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Si unaona GSM washafanya YAO
 
kuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto

Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...

niliwatoa akili mke na mume wote
Duuuh hatar sn
 
nimeshushuliwa mwenzio nimeambiwa mpk first world wanasuka

kila mzazi na maamuzi yake
shoga angu tukae kimyaa....
Hater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]

Ukweli zari kaonekana uhalisia wake! Nadhani hiki kipindi cha ma ishu ya kukutana na kadamnasi huwaga ni kipindi kibaya sana kwake! Visimu mshenzi havina editing vinamtoa kama alivyo...

Tuliomuona Mlimani City tulijionea maajabu!
 
Na kuna watu wametega camera kutaka kumfotoa hata akiongea loh
 
Hater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]

Ukweli zari kaonekana uhalisia wake! Nadhani hiki kipindi cha ma ishu ya kukutana na kadamnasi huwaga ni kipindi kibaya sana kwake! Visimu mshenzi havina editing vinamtoa kama alivyo...

Tuliomuona Mlimani City tulijionea maajabu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] camera 2600 at work.....

watamkomesha Leo na tecno zetu picha zitatoka negative balaaa
 
kuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto

Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...

niliwatoa akili mke na mume wote
hahahaha
 
Back
Top Bottom