Aligato
New Member
- Jan 31, 2017
- 2
- 5
[emoji1] [emoji1]Mama dai tiffaView attachment 469428 nae ana karabatiwa kwanza(hizi make up wengine tumezijulia ukubwani,utotoni tuliibaga kisirisiri enjoface na kujikandika)View attachment 469429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]Mama dai tiffaView attachment 469428 nae ana karabatiwa kwanza(hizi make up wengine tumezijulia ukubwani,utotoni tuliibaga kisirisiri enjoface na kujikandika)View attachment 469429
Si unaona GSM washafanya YAOHaya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Cc laptop 2016
nimeshushuliwa mwenzio nimeambiwa mpk first world wanasukaNatamani wamnyoe tu mpaka akue ndio wamsuke.
Lakini ukishauri hivyo utaonekana hater.
Hamna mbona wengi tu wamesemabasi kaka yaishe kwa sababu first world wamesuka waache wasuke
msije sema nna wivu bure!
wala usijali she isnt mine...Hamna mbona wengi tu wamesema
Nimeona humu hata washabiki wa mondi wameongelea hilo, mna tofautiana tone tuu.
Duuuh hatar snkuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto
Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...
niliwatoa akili mke na mume wote
Angalia mwanzo wa Uzi ziko nyingi tu.Jaman mbona me sijaiona pc ya zar, nitupieni apa plz
Hater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]nimeshushuliwa mwenzio nimeambiwa mpk first world wanasuka
kila mzazi na maamuzi yake
shoga angu tukae kimyaa....
Na kuna watu wametega camera kutaka kumfotoa hata akiongea lohHater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Ukweli zari kaonekana uhalisia wake! Nadhani hiki kipindi cha ma ishu ya kukutana na kadamnasi huwaga ni kipindi kibaya sana kwake! Visimu mshenzi havina editing vinamtoa kama alivyo...
Tuliomuona Mlimani City tulijionea maajabu!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] camera 2600 at work.....Hater wa mwendokasi[emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85]
Ukweli zari kaonekana uhalisia wake! Nadhani hiki kipindi cha ma ishu ya kukutana na kadamnasi huwaga ni kipindi kibaya sana kwake! Visimu mshenzi havina editing vinamtoa kama alivyo...
Tuliomuona Mlimani City tulijionea maajabu!
You cantwala usijali she isnt mine...
so let me keep quite....!!!
Si mzima huyo dadaujinga tu....nshashuhudia Dada mmoja anampa mwanawe Valium ili alale asukwe
hahahahakuna siku Niko kwa fundi nguo kaja mtoto kasukwa nywele za Uzi yule Mwenye mtoto akawa anahadithia kua jana yake kipindi anachomwa ule Uzi ghafla vimoto vikawa vimemdondokea machoni yule mtoto
Ikabidi wampeleke Amana hospital akapewa dawa daktari akachukua mkasi akampunyua zile rasta...
niliwatoa akili mke na mume wote
Tatizo halipo kwenye kuzini tu, bali hiyo madrasa na masheikh zao kushiriki kitu ambacho hakifaiAmbaye hajawahi kufanya uzinifu na awe wa kwanza kuwarushia mawe.
Nani leo kutwa nzima mpaka sasa hajatenda dhambi?
Binafsi nipo sehemu fulani napokea rushwa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kila mtu ana nafasi ya kuchagua malezi ya kumpa mwanae,
Mtoto wangu wa kike ataweka dawa kwenye nywele zake baada ya kuondoka kwangu.
Mkuu hili ndio shida sana, asieeeTatizo halipo kwenye kuzini tu, bali hiyo madrasa na masheikh zao kushiriki kitu ambacho hakifai
Nimeangalia zipo nyingi ila za zari hamna[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]Angalia mwanzo wa Uzi ziko nyingi tu.