Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Utandawazi
Mmmh hiyo makeup mpk mtoto?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmmh hiyo makeup mpk mtoto?
Asante mno diva... Nimefaid. Khaaaaa kaonekana mzee kweli... Na apo kalipa maela meeng mwenyewe[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]Kaongezwa mi foundation na joto hili la Dar basi ikawa iko vibayaView attachment 469550View attachment 469551View attachment 469552View attachment 469553
Hahaaaaaa! kumradhi bibie...
Huyo wa makeup kamharibia mwenzake sijui alimpaka majivu Yale,huko mashavu angemuwekea contour ingekuwa vzuri asingeonekana kukonda.Asante mno diva... Nimefaid. Khaaaaa kaonekana mzee kweli... Na apo kalipa maela meeng mwenyewe[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Naona kuna huyo bwege hapo anauliza Prince Nillan atakuja saa ngapi kuongea na wananchi [emoji3] [emoji3]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]samahani kaka....!!!
aliyekutuma muambie hujanikuta
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] eti majivuHuyo wa makeup kamharibia mwenzake sijui alimpaka majivu Yale,huko mashavu angemuwekea contour ingekuwa vzuri asingeonekana kukonda.
nimeshushuliwa mwenzio nimeambiwa mpk first world wanasuka
kila mzazi na maamuzi yake
shoga angu tukae kimyaa....
mwenzangu naona kama katumwa ananiandama balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.
Jibu limemtoshamwenzangu naona kama katumwa ananiandama balaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nimekukuta mubashara humusamahani kaka....!!!
aliyekutuma muambie hujanikuta
Hahahaaaa,Gen bhana umenichekeshaaasamahani kaka....!!!
aliyekutuma muambie hujanikuta
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] ananiwinda hatariiiHahahaaaa,Gen bhana umenichekeshaaa
Naona leo vyupi vinawabana mnahangaika mara make up, mara uzee mara mdomo ha ha haHuo mdomo wa zari kama jokeli