Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Asante mno diva... Nimefaid. Khaaaaa kaonekana mzee kweli... Na apo kalipa maela meeng mwenyewe[emoji126] [emoji126] [emoji126] [emoji126]
Huyo wa makeup kamharibia mwenzake sijui alimpaka majivu Yale,huko mashavu angemuwekea contour ingekuwa vzuri asingeonekana kukonda.
 
Haya maisha bana huyo mtoto leo anatimiza siku 40 ila kesho anaweza kusign mikataba mbalimbali na account yake ikawa na hela kuliko hata asilimia 80 ya member tulioko JF, yani mtoto anapata pesa kabla hata ya kujua pesa ni nini na matumizi yake ni nini. Hapo wajinga na wapumbavu tunamdharau Diamond wakati tuna watoto hadi wanamaliza vyuo vikuu hawana hata senti tano kwenye account, hawawezi kuishi bila kuajiliwa, kuna wakati tuwe tunawapa watu haki zao sio kukaa kumponda tu.



Umesema kweli!

Wabongo wanakawaida ya kuchukia Watu Wenye Mafanikio na ndio sababu wengi hawafanikiwi
 
Mubashara na midundiko toka kwa khadija kopa
16465839_370078373375780_8348359779864805376_n.jpg
16465616_1289389901149677_8019986427456520192_n.jpg
15802582_931513120317993_3257568810948886528_n(1).jpg
16584051_1853146911619337_4484804627144900608_n.jpg
16583727_413400959006130_6787068743190052864_n.jpg
 
Back
Top Bottom