Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Zari amshitaki huyo Mpaka makeup kambandika mi foundation hivi kwanini watizii haheshimu kazi zao jamani
Yan kamharibu mnooo sjui Foundation ilikua inaexpire so akabid aimalizie kwa zari [emoji35]
 
Shoga huu ubuyu wa uzee wa Zari natafuta pa kuumung'unyia nakosa!
Yani leo kutwa nzima nimeshika mdomooooo!
Jamani Zari kazeekaje? Uwiiiiiiiii

Na sio leo tu,tokea walipoenda clouds picha zilizua kizaazaa,makeup anajaza usoni lakini wapi!
Looh shkmoo filters.[emoji13] [emoji119]
Ohooooo!!!
 
Hamna mbona wengi tu wamesema
Nimeona humu hata washabiki wa mondi wameongelea hilo, mna tofautiana tone tuu.
Hizo nywele mi mtu mzima nkisuka nalala kichwa juu juu... Kuna style za watoto hizo sio. Period
 
Na kuna watu wametega camera kutaka kumfotoa hata akiongea loh
We acha tuu...

Kuongea ananyoosha mdomo sijui anaficha nini ndani ya mdomo!

Kucheka sasa hathubutuu, uliona interview anachekea ndani ya kikoti chake chekunduu....
 
Back
Top Bottom