Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Kilichojiri kwenye 40 ya Mtoto wa Diamond Platnumz (Nillan Nassib Abdul)

Shoga huu ubuyu wa uzee wa Zari natafuta pa kuumung'unyia nakosa!
Yani leo kutwa nzima nimeshika mdomooooo!
Jamani Zari kazeekaje? Uwiiiiiiiii

Na sio leo tu,tokea walipoenda clouds picha zilizua kizaazaa,makeup anajaza usoni lakini wapi!
Looh shkmoo filters.[emoji13] [emoji119]
Shost nilichoka nilivyomuona ndo anaingia clouds! Mwanzo ckujua kama ni yeye, na alivyokuwa anajichetua na hiyo singeli ndo kabisa alizidi kuharibuu...

Mi nakwambia kama kuna kipindi anakilaani ni hizi ishu za arobaini manake kadamnasi ndo wanajionea uhalisia!

Mi mlimani city nilishanga eti...labda mguu lakini kwingine hapana asee!

Zari anapenda sana kuedit ili kuficha mambo, mtu anaedit hadi kikombe cha chai khaaa!!
 
Ishu sio your view ishu ni wazazi ndio wenye maamuzi, huwezo ukasema siyo stail ya mtoto "period" wakati huyo siyo mtoto wa kwanza wala hatakuwa kuwa wa mwisho kusuka hivo.
So may be maoni yako ni sawa kwa stail yako ya malezi, ila wazazi dogo huyo wako huru kufanya wanacho taka kwa mtoto wao.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi sawa [emoji38]
 
Hahaaaaaaa zari ana hela siakayatengeneze tu vzuri maana wabongo nao wakishupalia mapungufu mweeeh hadi maskini Dada wa watu huwa hajiamini loh
Hata kwenye interview alisemelea kwa Domo kuwa eti haongei kiswahili chake ni kibaya so anaogopa watanzania watamcheka!?! Ndo Gea akamtoa wasiwasi kuwa aongee tuu hakuna wa kumcheka!

Ila uongo hapendi tu kuzungumza kiswahili bado ana shobo na Uzungu sana!
 
Hata kwenye interview alisemelea kwa Domo kuwa eti haongei kiswahili kwa kuwa ni kibaya anaogopa watanzania watamcheka!?! Ndo Gea akamtoa wasiwasi kuwa aongee tuu hakuna wa kumcheka!

Ila uongo hapendi tu kuzungumza kiswahili bado ana shobo na Uzungu sana!
Mmmmhh witn.... Hakusema haongei kw kua ni kibaya bhn, bali alisema haongei kwa sababu anakosea kuongea so anaogopa watu watamcheka.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] basi sawa [emoji38]
 
Shost nilichoka nilivyomuona ndo anaingia clouds! Mwanzo ckujua kama ni yeye, na alivyokuwa anajichetua na hiyo singeli ndo kabisa alizidi kuharibuu...

Mi nakwambia kama kuna kipindi anakilaani ni hizi ishu za arobaini manake kadamnasi ndo wanajionea uhalisia!

Mi mlimani city nilishanga eti...labda mguu lakini kwingine hapana asee!

Zari anapenda sana kuedit ili kuficha mambo, mtu anaedit hadi kikombe cha chai khaaa!!
Zari kapata mawifi mwe.
 
wivu na uchawi vina undugu
vipo vya kuongea ila sio.umri ndo maana wadada wanarudisha umri.nyuma teh hapo tuliwezwa wote tutazeeka
Tukiongelea swala la mwonekano kunlingana naumri hapa tutahaibishana!Kuna miss tz fulani hata hajazaa lakini ukimtazama mwili ulivyokongoroka utafikiri ana watoto sita,ila wajuvi wa mambo tunajua ni madhara tu ya mirage kusoma,kash kash za maisha,madawa ya kulevya na ulevi uliokithiri.
Make up kukosewa eti ndio conclusion kuwa Zari ni mbayaa sana!!
 
Kipato chake hakijulikani kinapotoka.
Haiwezekani hali ya uchumi imeyumba namna hii alafu anafanya kufuru.

Hata raisi wa mkoa(Makonda) hajafanya kitu kama hii.

Kamishna wa Drugs prevention naomba mumuite huyu dogo ahojiwe!
 
Back
Top Bottom