PROF NDUMILAKUWILI
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 10,518
- 13,144
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa chapati watakuwa hawakunji hata mama naye ana mdomo so mtoto wa nyoka ni nyoka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaaa chapati watakuwa hawakunji hata mama naye ana mdomo so mtoto wa nyoka ni nyoka.
Yani ana pamba kuanzia million huyu mwizi tu kawaharibia wenziwe shughuli yao. Laviemakeup yupo vzuri atleast.Anabei kweli ila ndo kachemka hatari
heri angeenda kwa lavie make up tuuu
Duh!!!Msema ukweli mpenzi wa Mungu zari huo mdomo bora angeziacha lips zake za zamanii tu,na hiyo make up itakuwa alipakwa na timu kiba [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua uzuri wa vitecno vyetuu ni vya ukweli vinakukumbusha uhalisia wa facial yako gradually....[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] camera 2600 at work.....
watamkomesha Leo na tecno zetu picha zitatoka negative balaaa
Wabongo wamemnanga mno hadi hana confidenceWe acha tuu...
Kuongea ananyoosha mdomo sijui anaficha nini ndani ya mdomo!
Kucheka sasa hathubutuu, uliona interview anachekea ndani ya kikoti chake chekunduu....
Ishu sio your view ishu ni wazazi ndio wenye maamuzi, huwezo ukasema siyo stail ya mtoto "period" wakati huyo siyo mtoto wa kwanza wala hatakuwa kuwa wa mwisho kusuka hivo.Hizo nywele mi mtu mzima nkisuka nalala kichwa juu juu... Kuna style za watoto hizo sio. Period
Naona hata wifi kwa zari anasubirZari mrembo bongo nzima
Yaaaa... Nasikia unaweza kufanya hata zaid ya 40 ni wewe tuArobaini vipi huyo mtoto si alizaliwa sijui mwaka juzi au jana kama sikosei
Nimeangalia zipo nyingi ila za zari hamna[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24]
Oooohoo!!! Tena!Mama mtu mbona naona kama kachooooka
Ukweli,hizo picha zinatisha, halina shaka hilo............FURSA hiyo,akina dada mchangamkie MAKE UP ARTISTBongo hamna ma make up artist wazuri sasa wana Mpaka mtu make up ka Analia, ESMA amekua ka jini linapaa.
Sasa embu ona apo alivokua mrembo kuliko hata uko kwenye iyo 30 sijui 40......View attachment 469590 haaa haaa mkuu nishakuelewa haya basi ZARI original huyo hapo!...
Bahati nzuri ajapatikana badoNaona hata wifi kwa zari anasubir
Vipi Role Model wa wadada wa mjini alikuwepo?!
Yupo anaekufanya ujione mwepesi kila siku.....Bahati nzuri ajapatikana bado
Acha tu mkuu,,,, anyway tc their ways of lifeYaani Maulid na baikoko sijui kibao kata...mtihani mkubwa huo