Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
zari ni mwanamke mzuri asee hapo kishaingia leba mara tano.....yupo hivoTukiongelea swala la mwonekano kunlingana naumri hapa tutahaibishana!Kuna miss tz fulani hata hajazaa lakini ukimtazama mwili ulivyokongoroka utafikiri ana watoto sita,ila wajuvi wa mambo tunajua ni madhara tu ya mirage kusoma,kash kash za maisha,madawa ya kulevya na ulevi uliokithiri.
Make up kukosewa eti ndio conclusion kuwa Zari ni mbayaa sana!!
wakati.wenzangu na mie hata mama hawajaitwa ila matumbo yamemwagika tayari