Kajiletea gundu mwenyewe.Mbona mbona mnamletea gundu mwana?.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajiletea gundu mwenyewe.Mbona mbona mnamletea gundu mwana?.
We jamaa tunaweza kuwa tunajuana. Mimi pia nimemaliza hapo Advance 2010.Mkonge mojaZitto na mnyika ni wakubwa sana 2007 walishakuwa kitaa kwenye siasa.
Hio 2007 ni kakae whozu anaitwa frank ndie aliesoma na Fred.
Fred amenizidi miaka kidogo tu na Mimi nilimaliza advance 2010
Darasani pia yuko vzuri nae. Maisha yake ya sasa ni stori tu imebaki. Maneno mengi yanaongewa lakini navojua jamaa ni hustler sio poaa anajua kuztafutaa alooo na muonekano wa kibishoo ndio unaeza mdharau kabisaHuyu jamaa nilisoma nae Msolwa ''St Gapare Bertoni'' Morogoro.Watu walimcheka alipofungua fremu yake ya kwanza pale survey. Alivyokuja kutoboa na kuanza kumiliki fremu kubwa washkaji wakataka wapewe discount hadi ya laki sita kwa iphone kisa classmate. Kutoboa bongo inabidi uwe na msimamo aisee. Alll in all god bless this guy
Ulisoma Combination gani maana mi nilifundisha hapo Galanos 2005 hadi 2010. Nilikuwa na Socha Boy na headmaster alianza mwalimu Imma then akaja Mark master.We jamaa tunaweza kuwa tunajuana. Mimi pia nimemaliza hapo Advance 2010.Mkonge moja
Galanos penda watoto. Markmaster tulimtimua sisi mwaka 2013 kulitokea mgomo mkubwa sana. Msocha watu walimzimia taa wakampiga sana bwenini. Kulikua na madam Mgina sijawahi kuona mtu anajua watu kama huyu mama shule nzima alikua anatujua. Wakina mwalimu Mziwanda kifupi hivi kinapiga fimbo balaa. Baada ya ule mgomo waliondoka karibu wote ila msocha alibaki mpaka akastafia pale.Ulisoma Combination gani maana mi nilifundisha hapo Galanos 2005 hadi 2010. Nilikuwa na Socha Boy na headmaster alianza mwalimu Imma then akaja Mark master.
Nilisoma EGM. nilimkuta Emma then tukamaliza na Mc Master.Ulisoma Combination gani maana mi nilifundisha hapo Galanos 2005 hadi 2010. Nilikuwa na Socha Boy na headmaster alianza mwalimu Imma then akaja Mark master.
Wewe ndiye lile liticha ulikua na misifa mingi,ulikua unapigisha chemistry?Sifahamu ila najua walikuwa wanafunzi wangu na walikuwa wanatoroka sana kwenda majani mapana na wenzake akina Kipesha, Bulldog, John, yule mtoto wa shimbo Geofrey, Amani na wenzake. Walikuwa wanaishi bweni la chai Cube namba 16 na 17.
Nilikuwa nawaomba fimbo hao wakitoroka na kuwahimiza kisha kuwashika mi na mwalimu Msocha.😀😀😀
Hayo ya matokeo siyajui mkuu.
Hivi we unajielewa kweli,mnyika umlinganishe na Jokate?Hapana Mnyika sio mkubwa kihivyo. Mnyika ni rika la kina Jokate
Wewe ndo hujielewi. Ulikuja mjini lini? Unafahamu kama Mnyika alishawahi date Jokate? Mnyika sio mkubwa kiumri.Hivi we unajielewa kweli,mnyika umlinganishe na Jokate?
Una utaahira. Mama ako na baba ako nani mkubwa kiumri?Wewe ndo hujielewi. Ulikuja mjini lini? Unafahamu kama Mnyika alishawahi date Jokate? Mnyika sio mkubwa kiumri.
Ulikuwa hujazaliwa kipindi hiko dogo?😀😀😀Wewe ndiye lile liticha ulikua na misifa mingi,ulikua unapigisha chemistry?
Jina "Jojo" la Jokate kalipata kutokana na uhusiano wake wa Mnyika, John $JokateUna utaahira. Mama ako na baba ako nani mkubwa kiumri?
Mnyika kamaliza form 4 mwaka 1998,kipindi hicho jokate yuko darasa la 5,leo unakuja kuwalinganisha kiumri kweli?uko sawa upstairs kweli we bichwa maji?
Labda kama alisoma shule inayomilikiwa na mamako. Jokate kamaliza darasa la 7 mwaka 1999 akachaguliwa Msalato ila akaenda St Anthony. Mnyika bado mdogo kulinganisha na kina Zitto.Una utaahira. Mama ako na baba ako nani mkubwa kiumri?
Mnyika kamaliza form 4 mwaka 1998,kipindi hicho jokate yuko darasa la 5,leo unakuja kuwalinganisha kiumri kweli?uko sawa upstairs kweli we bichwa maji?
mdomo koma,mdomo unaleta umaskini mdomo unajua...usipoudhibiti chai sanaMdomo nyoko saaana
Vunjabei mbona hajatoa kafaraMkinga akitajirika haraka sababu zake tunazijua, na kufirisika huwa ni haraka na sababu zinajulikana,
Shida kubwa ya vunja bei anataka kuvuna tu hataki kurudisha kwa jamii sikumbuki ni lini huyu jamaa katoa misaada sehemu Fulani ajifunze kwa waarabu wanaotoa kila siku lakini kila siku wanazidi kuongeza maliVunja bei ana shida, kinachokuja kumkuta ni kikubwa, namshauri aache mara moja kutumia mashine za EFD za wafanyabiashara wadogo kwenye maduka yake ya sinza kukwepa kodi