Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Shida kubwa ya vunja bei anataka kuvuna tu hataki kurudisha kwa jamii sikumbuki ni lini huyu jamaa katoa misaada sehemu Fulani ajifunze kwa waarabu wanaotoa kila siku lakini kila siku wanazidi kuongeza mali
Atakuwa amesoma huu ujumbe pia...
 
Vunja bei ya miaka mi5 iliyopita na sahivi ni tofauti sana yaani Kila nikinunua nguo vunja bei lazima nikivaa mwezi mmoja tu na kuzifua zinapauka vibaya,vunja bei kaishiwa Kila biashara na nyakati zake aswa iyo ya nguo ahamie kwenye manufacturing na sio trading Tena,ili uwe tajiri lazima uwe kwenye manufacturing na sio izo biashara za maduka kwa kulangua nguo china za low quality ambazo Kila mtu anaweza fanya,Vunga bei na African boy ya Jux sijui nani kaanza ila Jux anajitambua kuliko Fred.
 
Biahara kama nguo kubakia kwenye top ngumu sana walikuwa wakina zizzuou pamba kali,walikuwepo wakina Hussein pamba kali wote chali saiv sema yeye mdomo mwingi

Hapa shida inaweza kuwaga nini mkuu kwenye hii sector ya nguo maane kwel hao wote wamepotea kabisa
 
Ney wa mitego alishawai kusema kuwa yeye sio mfanya biashara wa kwanza wa nguo kwenda china.

Walikuwa watu wakina chidi mapenzi
Chidi Mapenzi sijui kapotelea wapi, alisumbua sana mjini
 
Hussein Pamba kali, Robbie one, zizzou fashion, Chidi Mapenzi hao woote walikuwa wanauza nguo kutoka China na walikuwa na majina Ila sasa hivi hata hawasikiki tena sijui biashara ya nguo Ina shida gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…