Kilichomharibia VUNJABEI ni hiki hapa

Nafkir pia watu aliokuwa anaambatana nao..

MACHAWA wengi.., pia lile jina la TMT kwa sisi wabongo tunavijicho, husda na roho mbaya.. sasa kila siku ktk page yako ya IG watu zaidi ya laki moja wanakuombea mabaya na kunung'unika unafkir utatoboa?..

Pia huyu mwimbaji wenu Nandy na Bwana ake nae ajiangalie..
 
Fred aache kulala na wanawake ovyo ovyo wanawake wengi wana mikosi


Wengi hujua kufilisiwa na wanawake huja kwa kuwahonga nop wanawake ni sumu by nature ni kutu ilayo baraka kutoka kwa BWANA
Hiki ulichosema hapa nilikizingatia tangu nikiwa under 18. Miaka nikiwa ghetto na bed kali,sasa vijana wenzangu wakawa wanakuja kuomba uwanja wapigie match,katu sikuwahi kukubali upuuzi wa namna hiyo.
 
Kufilisika inawezekana lakin kwa vunjabei nachelea kusema anafilisika kwasababu ana akili sana yule jamaa
 
Sidhani kama kafilisika ila kwasababu yeye alianza inawezekana anaona hailipi kama zamani,maana pia anauza dawa za binadamu,VUNJABEI PHARMACY,ni jumla na rejareja....... inawezekana nguvu amewekeza zaidi huko kwenye dawa,na asikudanganye mtu usidharau hata kiduka cha kuuza dawa mtaani kwasababu kila dawa anapata faida hata zaidi ya nusu..............kama unataka kujua faida ya dawa,uliza bei ya dawa pharmacy kkoo,then dawa hiyo hiyo pita Ubungo,Kimara au Mbezi utanielewa
 
Mbona niliona aliingia kwenye biashara ya pharmacy pia alifungua duka kubwa pale kkoo au ilikuwa geresha bwege.
 
Biahara kama nguo kubakia kwenye top ngumu sana walikuwa wakina zizzuou pamba kali,walikuwepo wakina Hussein pamba kali wote chali saiv sema yeye mdomo mwingi
Lakini hawa wengi umetaja ni kama hata kwny list ile ya wauza ngada wamo?? Vunja anaongea sana hata hivo.....ingawa naona kuwasanua vijana biashara ilivyo na wengine kupata upenyo sio mbayaa rizki imeenda kwa wengiii pia
 
Zizzou Fashion, Makoba MJ Classic, Hussein Pambakali daaaaah kitambo sana aseeeh
Sasa hao ndo wakwanza kwenda china na kuleta mzigo bongo vunja bei mtoto mdogo kwenye game kuliko wamba hao ila wote chali vunja bei misifa mingi kujiona bora sana kuliko hao waliopita bora abakie kwenye siasa ccm watampa shavu la UDC
 
Lakini hawa wengi umetaja ni kama hata kwny list ile ya wauza ngada wamo?? Vunja anaongea sana hata hivo.....ingawa naona kuwasanua vijana biashara ilivyo na wengine kupata upenyo sio mbayaa rizki imeenda kwa wengiii pia
Bro biashara ipo na siri mzee shida pia mishangazi kila demu mkali town anataka apite nae uwezi kuwa top
 
Si
Jamaa kadrop hdi besti yake frank knows kafunga Duka la kariakoo kakimbia upinzani wa vijana waliowapa hizo siri
Siku hizi hakunaga masuala ya kuwapa watu siri, wabongo waliopo huko mavyuoni China wapo kibao na bado kuna mawinga wa kutosha


Watu waliamua kujilipua na kwenda wenyewe kusaka machimbo na wengi walitoboa


Maana China ukiamua kujilipua hukosi chochote kitu, na kadri unavyozidi kujichanganya ndio utajua machimbo zaidi
 
Ni kweli mungu akikupa hutakiwi kujitutumuaa sana inabidi uwe low key Ili upasue anga zaidi Kuna jamaa yangu Yuko mkoa mbeya wakati anaanza alikuwa na kiduka kidogo juzi nimeenda mtembelea amepasua fremu tatu ameziunga imekuwa Moja ametoa ajira Kwa wadada wanne na ana walinzi binafsi na oda zinazoingia hadi zinamkeraa kinoma yaan apumui ni kazi kazi
 
Unataka uniambie viwanda vya kuzalisha hizo nguo kule china ni siri? havijulikani? kwamba lazima ukavitafute ndani ndani huko? Kwani China wanauza products zao Tanzania pekee?

Hakuna Chimbo la siri kule China haya ni maneno ya vijiweni tu. Ukisema mwanzo watu ilikiwa ushamba na hawaendi kuchukua mzigo china hapo sawa, Ila kusema ni machimbo ya Siri hizo ni stories za vijiwe vya kahawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…