Kilichomkuta dereva wa first choice (apollo)

shikamkono01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2016
Posts
685
Reaction score
2,055
Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale Msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao Tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka

Angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
 
siku ya jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari moro kuelekea dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea dar tulipofika dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia alikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka,angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
Dereva kaanguka abiria wote kwenye gari mkawa hamjui nini mfanye mkaliacha gari hadi likazimika lenyewe mkuu?
 
Mabasi ya mikoani risk tupu.
Kuna siku dereva kamwachia konda bus tokea hapo mikumi mpk Mbeya ye kaenda kulala.
Tulifika ila mungu saidia tu humo njiani.
Sipandi tena.
 
siku ya jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari moro kuelekea dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea dar tulipofika dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia alikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka,angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine

Hakuna nukta wala mkato?
 
Inahuzunisha
Siku ya Jumamosi tarehe 11/09/2021 nikiwa mmoja wa abiria ambaye nilipandia gari Moro kuelekea Dodoma muda wa jioni gari ikiwa inatokea Dar tulipofika Dumila ghafla dereva alianguka akiwa kwenye mwendo na kupelekea gari kwenda lenyewe hadi lilipozimika na Mungu jaalia halikuwa ktk mwendo na kwa habari nilizozipata siku ya jumanne nilipopita tena pale Msamvu niliambiwa kuwa yule dereva alikufa na ameshazikwa kwao Tanga na alikuwa na matatizo ya sukari ya kushuka

Angalizo ni wamiliki kuwapa mapumziko stahiki kwa madereva wao kwani wanabeba dhamana kubwa ya roho za watu na wakati wa tukio yaani hakukuwa na dereva wa ziada na ikabidi hadi tuamishiwe ktk gari nyingine
 
Dereva kaanguka abiria wote kwenye gari mkawa hamjui nini mfanye mkaliacha gari hadi likazimika lenyewe mkuu?
ndugu ktk gari hakuna aliyekuwa amejiandaa kuwa dereva ataanguka yaani kilichotokea ni yowe tu la mama mmoja ktk abiria tuliokuwepo kusema dereva ameanguka na ikawa kama butwaa na huo mwendo ulikuwa km wa sekunde 50 hadi dakika 1.30 hv na si muda mrefu kihvyo ndugu
 
Duh! Iliwezekanaje!
sio hapa kudanganya na sina faida yoyote ktk jambo hilo,kama waweza pata wasaa fatilia kampuni husika inaitwa first choice (apollo) au km una jamaa pale msamvu akupe mrejesho na nimekuwekea na cku na tarehe
 
Back
Top Bottom