Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaHii wanzuki
Bila shaka mkuu unatokea pande za kamwene unogage si kwa wanzuki hiyoHii wanzuki
Hapo mkewe kashagongwa tayari ndio mana kafurahia huyo binti kuchanwa, Maana yetu anammiliki Huyo mkurya na fuko lake la Rambo .Mwanaume hutakiwi kuchati ujinga na mkeo kuna siku atakwambia "ata mim nililia"
Muulize mkeo kaambiwa na nani ukute kasimuliwa na hilohilo jamaa, na wanawake wanapenda sana kuonjaonja
WONINGI: USICHATI UMBEA NA MKEO, ndo maana anakufulisha nguo next time atakuambia uoshe vyombo mwisho utaanza kupika kabisaaa
Mimi nimejaribu sana kumfanya mke wangu asiwe ananiletea umbeya lakini nimeshindwa.Nisiposikiliza umbeya wake siku hiyo hakuna amani kabisa ndani ya nyumba.Ukiona mkeo/moenzi hakupikupi story/umbea basi ujue hakupendi.