Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Sijaelewa hapo mwisho alikuwa anamtania kiba100 kivip...?
 
Sijaelewa hapo mwisho alikuwa anamtania kiba100 kivip...?
Sijasema moja kwa moja kwamba alikuwa akimtania kibamia bali nimesema pengine alikuwa anamtania,nimeeleweka hapo mkuu?
 
Mwanaume hutakiwi kuchati ujinga na mkeo kuna siku atakwambia "ata mim nililia"

Muulize mkeo kaambiwa na nani ukute kasimuliwa na hilohilo jamaa, na wanawake wanapenda sana kuonjaonja

WONINGI: USICHATI UMBEA NA MKEO, ndo maana anakufulisha nguo next time atakuambia uoshe vyombo mwisho utaanza kupika kabisaaa
Hapo mkewe kashagongwa tayari ndio mana kafurahia huyo binti kuchanwa, Maana yetu anammiliki Huyo mkurya na fuko lake la Rambo .
 
Back
Top Bottom