Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

mapipando

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
2,922
Reaction score
3,559
Ijumaa njema na iwe kwetu sote,

Leo asubuhi wakati namsaidia mama watoto kufua nguo (kama kawaida yangu pale nipatapo wasaa), mke wangu alikwenda dukani na aliporudi akanikuta nikiendelea na shughuli ya ufuaji.

Akaniita baba............. unamfahamu............? Kwa kutaka kuwa na uhakika nami nikamuuliza yule ambae anaimba kwaya sauti ya tatu? Akanijibu hapana,ni yule mwenye duka. Nikamwambia yap yap nampata na kumuuliza kulikoni?

Akanijibu kwamba kuna dada mmoja mdogo mdogo hivi alikuwa akimtongoza, nami nikaitikia enhe (ili kunogesha umbea) huku nikiendelea na kufua. Basi jana ndio walienda wenyewe wanakokujua kutimiza haja za miili yao (kama kawaida nikaitikia enhe) ila kilichomkuta dada wa watu ni hatari.Hapa sasa nikaacha kufua,nikauliza kitu gani kimemkuta?

Nikaambiwa kwamba baada kufika kule yule jamaa baada ya kuvua nguo kile kidada kikaona jamaa ana bonge la mbombadia,yule binti akamwambia hiyo ndege yako haiwezi kutua kwenye kiwanja changu kwani hilo dega ni kubwa mno. Jamaa likajibu kwamba mimi huwa siambiwi hivyo na hapa lazima ndege itue.Ukizingatia jamaa ni mkurya halafu anamwili mkubwa.

Lijamaa likapiga show kibabe na matokeo yake akamchana vibaya mno yule binti uke wake na hatua za kumpeleka hospitali iliyopo karibu (kitunda) zikafanyika na alipofikishwa hospitalini ikaonekana hawawezi kushughulika nae kutokana na ukubwa wa tatizo hivyo wakamruhusu apelekwe hospitali ya Amana,Ilala.

Huyu jamaa ana mke,watoto wakubwa na mmoja wao ameolewa.

Si ajabu huyu binti alikuwa anamtania jamaa kibamia kibamia sasa kilichomkuta hatokisahau mpaka anakufa.
 
Mwanaume hutakiwi kuchati ujinga na mkeo kuna siku atakwambia "ata mim nililia"

Muulize mkeo kaambiwa na nani ukute kasimuliwa na hilohilo jamaa, na wanawake wanapenda sana kuonjaonja

WONINGI: USICHATI UMBEA NA MKEO, ndo maana anakufulisha nguo next time atakuambia uoshe vyombo mwisho utaanza kupika kabisaaa
 
Mwanaume hutakiwi kuchati ujinga na mkeo kuna siku atakwambia "ata mim nililia"

Muulize mkeo kaambiwa na nani ukute kasimuliwa na hilohilo jamaa, na wanawake wanapenda sana kuonjaonja

WONINGI: USICHATI UMBEA NA MKEO, ndo maana anakufulisha nguo next time atakuambia uoshe vyombo mwisho utaanza kupika kabisaaa
Mkuu una akili mbovu kweli, kila mmoja anazo taratibu za namna ya kuyaendesha maisha yake,sasa niishivyo haipaswi kukupendeza wewe na siku zote mimi huishi niamuavyo na huwa sishurutishwi.

Kama unaumia mimi kufua nguo ama kumsaidia mke wangu utakuwa una matatizo ya kiakili.
 
Back
Top Bottom