Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije ikawa na mkeo anataka kuprooveIjumaa njema na iwe kwetu sote,
Leo asubuhi wakati namsaidia mama watoto kufua nguo (kama kawaida yangu pale nipatapo wasaa), mke wangu alikwenda dukani na aliporudi akanikuta nikiendelea na shughuli ya ufuaji.
Akaniita baba............. unamfahamu............? Kwa kutaka kuwa na uhakika nami nikamuuliza yule ambae anaimba kwaya sauti ya tatu? Akanijibu hapana,ni yule mwenye duka. Nikamwambia yap yap nampata na kumuuliza kulikoni?
Akanijibu kwamba kuna dada mmoja mdogo mdogo hivi alikuwa akimtongoza, nami nikaitikia enhe (ili kunogesha umbea) huku nikiendelea na kufua. Basi jana ndio walienda wenyewe wanakokujua kutimiza haja za miili yao (kama kawaida nikaitikia enhe) ila kilichomkuta dada wa watu ni hatari.Hapa sasa nikaacha kufua,nikauliza kitu gani kimemkuta?
Nikaambiwa kwamba baada kufika kule yule jamaa baada ya kuvua nguo kile kidada kikaona jamaa ana bonge la mbombadia,yule binti akamwambia hiyo ndege yako haiwezi kutua kwenye kiwanja changu kwani hilo dega ni kubwa mno. Jamaa likajibu kwamba mimi huwa siambiwi hivyo na hapa lazima ndege itue.Ukizingatia jamaa ni mkurya halafu anamwili mkubwa.
Lijamaa likapiga show kibabe na matokeo yake akamchana vibaya mno yule binti uke wake na hatua za kumpeleka hospitali iliyopo karibu (kitunda) zikafanyika na alipofikishwa hospitalini ikaonekana hawawezi kushughulika nae kutokana na ukubwa wa tatizo hivyo wakamruhusu apelekwe hospitali ya Amana,Ilala.
Huyu jamaa ana mke,watoto wakubwa na mmoja wao ameolewa.
Si ajabu huyu binti alikuwa anamtania jamaa kibamia kibamia sasa kilichomkuta hatokisahau mpaka anakufa.
Wacha weee! Watu na mauzoefu yenu eti!Ukiona mkeo/moenzi hakupikupi story/umbea basi ujue hakupendi.
Mke anatoa ubuyu jamaa anamfulia pichu huku akitega sikio.Inshort ulikuwa unapeana ubuyu na Mkeo? Ha ha ha ah
We mrembo upogo?Wacha weee! Watu na mauzoefu yenu eti!
Nipo, nimejaa tele kama pishi la mcheleWe mrembo upogo?