Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kumbe Roma Mkatoliki anatisha, ndiyo maana anajiita kibamia makusudi ili apate zali la mentali la kuwashikisha adabu mabinti wa watu.
 
Mimi nimejaribu sana kumfanya mke wangu asiwe ananiletea umbeya lakini nimeshindwa.Nisiposikiliza umbeya wake siku hiyo hakuna amani kabisa ndani ya nyumba.
Dalili njema mkuu.anakupenda huyo.
 
Ijumaa njema na iwe kwetu sote,

Leo asubuhi wakati namsaidia mama watoto kufua nguo (kama kawaida yangu pale nipatapo wasaa), mke wangu alikwenda dukani na aliporudi akanikuta nikiendelea na shughuli ya ufuaji.

Akaniita baba............. unamfahamu............? Kwa kutaka kuwa na uhakika nami nikamuuliza yule ambae anaimba kwaya sauti ya tatu? Akanijibu hapana,ni yule mwenye duka. Nikamwambia yap yap nampata na kumuuliza kulikoni?

Akanijibu kwamba kuna dada mmoja mdogo mdogo hivi alikuwa akimtongoza, nami nikaitikia enhe (ili kunogesha umbea) huku nikiendelea na kufua. Basi jana ndio walienda wenyewe wanakokujua kutimiza haja za miili yao (kama kawaida nikaitikia enhe) ila kilichomkuta dada wa watu ni hatari.Hapa sasa nikaacha kufua,nikauliza kitu gani kimemkuta?

Nikaambiwa kwamba baada kufika kule yule jamaa baada ya kuvua nguo kile kidada kikaona jamaa ana bonge la mbombadia,yule binti akamwambia hiyo ndege yako haiwezi kutua kwenye kiwanja changu kwani hilo dega ni kubwa mno. Jamaa likajibu kwamba mimi huwa siambiwi hivyo na hapa lazima ndege itue.Ukizingatia jamaa ni mkurya halafu anamwili mkubwa.

Lijamaa likapiga show kibabe na matokeo yake akamchana vibaya mno yule binti uke wake na hatua za kumpeleka hospitali iliyopo karibu (kitunda) zikafanyika na alipofikishwa hospitalini ikaonekana hawawezi kushughulika nae kutokana na ukubwa wa tatizo hivyo wakamruhusu apelekwe hospitali ya Amana,Ilala.

Huyu jamaa ana mke,watoto wakubwa na mmoja wao ameolewa.

Si ajabu huyu binti alikuwa anamtania jamaa kibamia kibamia sasa kilichomkuta hatokisahau mpaka anakufa.
Chief unamzungumzia Chacha Muya nini?
 
Hapo mkewe kashagongwa tayari ndio mana kafurahia huyo binti kuchanwa, Maana yetu anammiliki Huyo mkurya na fuko lake la Rambo .
Yap wanaume wekeni mipaka ili wake zenu waweze kujishikilia vinginevo siku akitiwa anakuja kukuhadithia
 
Mimi nimejaribu sana kumfanya mke wangu asiwe ananiletea umbeya lakini nimeshindwa.Nisiposikiliza umbeya wake siku hiyo hakuna amani kabisa ndani ya nyumba.
Hapo ujue amefanikiwa kukukonvisi ujinga
 
Mwanaume hutakiwi kuchati ujinga na mkeo kuna siku atakwambia "ata mim nililia"

Muulize mkeo kaambiwa na nani ukute kasimuliwa na hilohilo jamaa, na wanawake wanapenda sana kuonjaonja

WONINGI: USICHATI UMBEA NA MKEO, ndo maana anakufulisha nguo next time atakuambia uoshe vyombo mwisho utaanza kupika kabisaaa
Kapicha basiiii
 
Kuna mtu aliniambia wanandoa ndo wanaongoza kwa umbea.. sasa ndo naanza kuamini!!
 
Back
Top Bottom