Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kilichomkuta huyu dada naamini hatosahau maisha yake yooote.

Kuna mtu aliniambia wanandoa ndo wanaongoza kwa umbea.. sasa ndo naanza kuamini!!
Ukiwa na mke huwezi kukwepa umbea ikiwa utamfanya mkeo pia ni rafikiyo, la uwe mkatili kwake ndo hatopata mood ya kukupa habari za kitaa.
 
Back
Top Bottom