Mkungunero
JF-Expert Member
- Aug 13, 2023
- 401
- 569
Aliyepita alisaidiwa na kelele nyingi kila anapoenda anawapiga fix wananchi kwa mbwembwe nyingi wakabaki wanamuomba yeye tu. Si unajua wananchi wanavyopenda kuongopewa mbaya zaidi ukienda na strategy ya kutumbua tena hadharani hivyo wananchi wanapenda ili tu kumkomoa mwingine afanane nao kwa umaskini.
Ila ki ukweli hamna kitu kilichofanyika ukilinganisha na awamu hii. Bahati nzuri yake alivinyima fursa vyombo vya habari kuandika chochote kama vinavyofanya Sasa hivi ambapo hata matusi vinaandika.
Mbaya zaidi pia mikutano ya siasa akaipiga teke ili tu yeye ndo abaki anaupiga siasa peke yake kwa hiyo wanachi hawakupata kabisa fursa ya madudu yake wakabaki wanasifia tu anayekosoa anapotezwa mazima ikabaki ni wogo nchi nzima mpaka ukiwa kwenye daladala unaonywa na watu usiongelee siasa vinginevyo utapotea. Tukawa tunaogopana sisi kwa sisi.