Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Khaa eti tunaogopaBado mnafanya siri hicho kilichompata? Mnaogopa ku share video mtakamatwa?
kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?🐒Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea kila mtu anajua.
Sasa sahivi Tanzania Kuna movement ya No reform no election,hii aliibua Tundu Lissu, CCM kama kawaida Yao wakachukulia poa, Sasa hivi hii movement ni hatari sana, imepenya hatari kwenye mioyo ya watu.mitandao yote ya kijamii ni no reform no election.
Jana Msigwa alitoa matamshi ya kejeri kuwa hii movement ni upuuzi, usiku wakuamkia leo akaenda UDOM, aisee amekutana na zomea zomea ya wanafunzi wanaimba No reform no election.
Viongozi kamwe narudia kamwe msidharau nguvu ya social media,maana wanaoandika mitandaoni ni watu sio robbot
Umesahau kuvaa pedi Gentlemankwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?🐒
Kwani yeye ni "pedestrian"?🫸🫷😝😝😝😝😝😝😝😝😝Umesahau kuvaa pedi Gentleman
Video please
yaani kwamfano wewe ukiniporomoshea matusi mimi, naacha kuwatumikia wananchi ama?🐒Umesahau kuvaa pedi Gentleman
Ilo lijinga la mama nalimuduKwani yeye ni "pedestrian"?🫸🫷😝😝😝😝😝😝😝😝😝
Hivi wewe kuvaa pedi,mie nishindwe kupata hela?yaani kwamfano wewe ukiniporomoshea matusi mimi, naacha kuwatumikia wananchi ama?🐒
Wewe toa habari kilo kiloMods mnapandishaje uzi kama huu mtf.!!
Mtu anatoa habari nusunusu kama anamsimulia hawara wake chumbani🚮
nyie wazomeaji wengine ni matatizo sana gentleman ni wakupuuzwa tu 🐒Hivi wewe kuvaa pedi,mie nishindwe kupata hela?
Tunataka iwe ndiyo agenda ya kitaifa.kwa mfano hiyo nonsense inasaidia nini gentleman na huyo ni mrtumishi wa umma na sio udom?🐒
Wanatumia ajenda ya mpira kama spinning, eti tarehe kumi na tano tunacheza hatuchezi , hii nchi hii
Anatumikia tumbo lake tu.yaani kwamfano wewe ukiniporomoshea matusi mimi, naacha kuwatumikia wananchi ama?🐒