Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Mungu aendelee kutupa ngozi nyeusi umasikini ili wazungu wazdi kutetea watu weusi wasio na sauti ndani ya nchi yao.Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Tupe ukweliUongo
Naona unamaanisha yeye ni NDINASamia angekuwa na akili japo kidogo
Nchimbi alimanusra atoe kamasiWazungu wanarikiwe for speaking on our behalf as our voices been shut down.
😁😁Naona unamaanisha yeye ni NDINA
Source :ww mwenyeweChawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Jumanne Muliro hakujuwa juu ya kikao hicho? Maanake angeeleka mabomu ya machozi huko kwa CHADEMA kukiuka sheria inayohusisha Jaji wa Zanzibar kuwapiga stop chama kisifanye shughuli zozote wakati akikalia faili la kesi yao!N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Wazungu wa wapi hao wanaotaka uongozi thabiti huku afrika ili sie waafrika tujifaidie asali na maziwa ya bara letu kwa uongozi uliotukuka?Wazungu wanarikiwe for speaking on our behalf as our voices been shut down.
Muliro alijua ila aliufyata kimyaaa, Utawezaje kulipua wanaotengeneza hayo mabomu?Jumanne Muliro hakujuwa juu ya kikao hicho? Maanake angeeleka mabomu ya machozi huko kwa CHADEMA kukiuka sheria inayohusisha Jaji wa Zanzibar kuwapiga stop chama kisifanye shughuli zozote wakati akikalia faili la kesi yao!