Tatizo kubwa ni kwamba IKULU iko empty, na imekuwa empty muda mrefu.
Mama Samia huwa hakai ofisini kuthink through decisions na impact zake.
Kila siku yuko barabarani, na inaelekea wasaidizi wake wanafanya serious decisions bile yeye mwenyewe Rais kuelewa impact yake.
Niliwahi kuuliza , hivi nani anafanya kazi za Rais Samia maana yeye muda wote yuko barabarani.
Hili ni suala nimekuwa nikijiuliza kitambo sasa. Mama is on the move daily. Sisi tunaomtakia heri tunaona kuna kasoro. Mama Samia ni kama hakai ofisini, kila uchao yuko huku na kule. Kweli ni mambo ya Kitaifa lakini turudi nyuma kidogo,hata Mwalimu aliwahi kusema, kazi ya Urais na ofisi ya...
www.jamiiforums.com