Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.

Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.

Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.

Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.

EU wameshauri yafuatayo.

1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi

2. Lissu aachiwe huru .

3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.

N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
No reforms no election
Oktoba tunatiki
 
Halafu we ngiri pori tangia enzi za baba wa Taifa haijatokea nchi wala mabalozi waliipa nchi yetu masharti ya ******* km hayo na haitatokea, mbwa moja tu umevimbiwa huko ulipo unakuja kuandiks uchafu km huu? We shoga unawashwa ******.
 
Ng'ombe wa mama
 
Lisu alikamatwa Songea jimboni kwa Nchimbi kisha akasafirishwa huko Dar wachunguzi wa mahakama ya uhalifu wa kimataifa ICC The Hague waliopo Tanzania wametoa report kuwa mojawapo wa watu waliosababisha Lisu kuwepo ndani ni Nchimbi baada ya hotuba ya Lisu kugusa masilahi yake kwenye migodi huko Songea
 
Watesi wa Lisu ni Nchimbi, Mbowe na G55 wake, Amos makala, IGP na Polisiccm wake, Bashungwa, na chawaccm wenye Roho mbaya za kishetani, huu mtandao ukiongozwa na chuki binafsi za IGP dhindi ya Lisu ndiyo umepelekea Lisu Mtanganyika kuteswa na mzanzibar kwa maelekezo ushauri wa watanganyika wenzake, Nchi ngumu sana
 
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.

Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.

Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.

Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.

EU wameshauri yafuatayo.

1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi

2. Lissu aachiwe huru .

3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.

N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
 
Attachments

  • WATANZANIA HII VIDEO NI YENU WENYE MNATAWALIWA NA MMAMA UKO KWENU (1).mp4
    1.1 MB
  • Samia is coming for youall😂😂😭😭.mp4
    1.1 MB
  • Duh kiongozi kama huyu mchapa kazi kumpata tena ni mitano tena 🫣.mp4
    947.9 KB
  • AQNL9KwvgNwOGe3X7iWw35pDYtTgm3PmnnSAtZlH282vFEEJ_TPg63tAkGfJAtwjxiJiImeK_MRsNkKaZyISS6Q3J_m1zj...mp4
    1.1 MB
Wazungu wanarikiwe for speaking on our behalf as our voices been shut down.
Yeah right.....
They speak on you when got together and agreed NIGGER is derogative and demeaning to refer to your features as creature with black skin and big nose with white shining eye....
1751581527940.png
 
Ni commitment kwamba Uchaguzi utakuwa huru na haki.

Sasa wale si waswahili - wanajua hamna lolote maana wengi wa hao jamaa ni mashushushu by proffessional so wanajua mtu wa fix dakika za mwanzo tu.

CCM kumeshapoteza kabisa kuaminika - ni watu wa fix fix balaa.
ibirisi wa ccm kazi yao ni kuteka kuua kubambika kesi za uongo, siasa za ushindani hawawezi tena
 
Halafu we ngiri pori tangia enzi za baba wa Taifa haijatokea nchi wala mabalozi waliipa nchi yetu masharti ya ******* km hayo na haitatokea, mbwa moja tu umevimbiwa huko ulipo unakuja kuandiks uchafu km huu? We shoga unawashwa ******.
Kwa hizo Bangi ulizovuta umejiona eti wewe ni bingwa wa matusi ya kishamba sana, utetezi kwa ibirisi ccm kwa njia ya matusi ya kizamani haisaidii ccm kujinasua na uovu uonevu utekaji mauji kubambika kesi za uongo, na endapo unasaka uteuzi kwa njia hiyo usitegemee mkoloni kaburu toka Zanzibar atakuteua popote
 
Sio uongo ni mabeberu
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.

Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.

Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.

Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.

EU wameshauri yafuatayo.

1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi

2. Lissu aachiwe huru .

3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.

N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
 
Pesa inayotumika kudidimiza demokrasia kuidhoofisha chadema ni pesa nyingi ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodi na endapo ccm wangezielekeza hizo pesa kwenye maendeleo mda huu ccm wangekuwa wanapendwa wangevuna kura wasingekuwa wanahaha kuiba kura kuteka kuua kubambika kesi za uongo, maendeleo yangewauza ccm, Mbowe na Amos makala wao wameamua kupiga Dili kwa mgongo wa uonevu wa Lisu wakala 10% uuzaji wa G55 kwenda chama chawa cha ccm ni ufisadi ni wizi mpya wa pesa za walipa kodi, huu ujinga wote toka ccm mabalozi wa ulaya na Nchi zingine wanaujua vizuri sana
 
Muungano ufe Tanganyika iwe huru uonevu kwa watanganyika utakwisha
 
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.

Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.

Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.

Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.

EU wameshauri yafuatayo.

1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi

2. Lissu aachiwe huru .

3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.

N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Mpinzani pekee ninayemwamini Afrika ni best yangu Julius Malema wengine magava wa mabeberu na vyama vyao matawi. Yaani kweli mnajisifia Ulaya? Ndiyo maana Trump hana mpango na wanasiasa uchwara...yeye ni MAGA tu.🙏🙏
 
Back
Top Bottom