Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

Tetesi: Kilichompeleka Nchimbi Kwa mabalozi wa nchi za Umoja wa Ulaya

Mambo ya ccm na serikali ni makubwa mnooo kuweza kueleweka na kujadiliwa na vitoto km nyie. Nchi Nikuhakikishie tu, hakuna lolote nyie vibaraka mtafanikiwa.
Ka nchi kenye GDP ya $78b ndo unatubwekea hapa,nchi masikini wa kutupwa eti serikali 😁
 
Wakamtafute aliyetaka kumuua Trump kwanza. Samia ni Rais wa Tanzania sio wa Ulaya anachafukaje? Kukata misaada Sweden itatusaidia kukusanya kodi zaidi ili tujitegemee wenyewe.

Unafahamu ni nchi ngapi zenye vitegauchumi vyao Tanzania?
Kama mngekuwa na jeuri hiyo ya makusanyo ya kodi, ilikuaje mkamtimua Ndugai aliposema tujibane humu humu tuache kutembeza bakuli kwani nchi yetu kuna siku itapigwa mnada??
 
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
1751561739907.jpeg
 
Nchimbi msione vile,shida mwamuona poa ,ila kwa maono tu chimbi ni kama mkapa tu bila reform , hata reforms zikfanyika hakuna jipya ,asema Bwana.

Ccm watu wazuri huwasokomeza ndani kule , ina watu wazuri sana ila ubinafsi tu, mfano Makongoro akipitishwa kua mgombea Urais shida nini, ila utawasikia
Maccm eti yule mlevi ,kwani kunywa ni dhambi , mbona mkapa alikua lazima apate kilaji, mzee warioba mbona anapiga ila yupo kwa mstari , majukum ya mtu kikazi naomba yasiusishwe , relax ya mtu ,ubinadamu upo pale pale , nao binadam
 
Nchimbi msione vile,shida mwamuona poa ,ila kwa maono tu chimbi ni kama mkapa tu bila reform , hata reforms zikfanyika hakuna jipya ,asema Bwana.

Ccm watu wazuri huwasokomeza ndani kule , ina watu zuri sana ila ubinafsi tu, mfano Makongoro akipitishwa kua mgombea Urais shida nini, ila utawasikia
Maccm eti yule mlevi ,kwani kinywa ni dhambi , mbona mkapa alikua lazima apate kilaji, mzee warioba mbona anapiga ila yupo kwa mstari , majukum ya mtu kikazi naomba yasiusishwe , relax ya mtu ,ubinadamu upo pale pale , nao binadam
Je ni kweli hata naniliu?
 
Nchimbi hajawahi kuwa kiongozi bora wala wa kupigiwa mfano popote alipokuwa, Yaani hakuna alama aliyoiacha popote alipopita (anayenipinga alete alama ya Nchimbi)

Anasaidiwa na Waganga, tambueni kwamba kwao ni Songea, sijui kama mnanielewa
 
Je ni kweli hata naniliu?
Sijakuelewa, cha msingi elewa ccm hupoteza vipaji kiisa kulindana tu, bado wanao wazuri ambao wanaweza kujenga hoja basi tu ,that's inachukiwa , wapo wakuu wa mikoa wazuri sana , ila sasa fitina , ndo shinda .

Nasema tena ccm kama chama hakina shida ,ila walioko ndani ya chama ndo shida kuu
 
Nimani yangu ni kuwa hao kwa sasa nawafananisha na kansa ndani ya mwili ulioanza kudhoofika,ila nanii hii,ni mshika mpini
 
Nchimbi hajawahi kuwa kiongozi bora wala wa kupigiwa mfano popote alipokuwa, Yaani hakuna alama aliyoiacha popote alipopita (anayenipinga alete alama ya Nchimbi)

Anasaidiwa na Waganga, tambueni kwamba kwao ni Songea, sijui kama mnanielewa
Sina uhakika na hili ila naunga mkono, nchi hii uliona mtu amekula shavu jiulize mara mbila , alafu tafuta connection yake ndo utajua hujui, mfano mchengerwa yupo mwanachama tena wa ccm amelalamika kutopewa form , so unajiuliza sana , kwamba jimbo lile anawakilisha mchengerwa ni baba yake, ukoo wake au, jibu hupati .

Leo tusemavyo mke wa Rais mstaafu Jk naye kachukua form (note ni drama tu mwaka huu hakuna uchaguzi bila reforms, asema Bwana) .

Unajiuliza ,wewe umekua mke wa Rais , bado unalipwa kwa mjibu wa sheria ya wake wa viongozi iliopitishwa na Bunge , tena ni yeye alileta hoja Bungeni kama siikosei, alafu leo watu waakihoji majaliwa kutochukua form ya ubunge inakua nongwa,?)

Kati ya mke warais mtahafu , na aliekuwa mke wa rais nani alitakiwa pumzika ? .

Mke wa rais uyu amevunja record ya nchi hii ,kwa kuwa mke wa rais mstaafu na bado anakimbia ubunge , so shame
 
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.

Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.

Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.

Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.

EU wameshauri yafuatayo.

1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi

2. Lissu aachiwe huru .

3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.

N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.

Mto wa Mbu,
Illinois -USA
We mbwa koko kaendelee kuuza makalio wazungu. We ni mwanaharamu mzushi, mwongo, zandiki, kwa vile uko Marekani hauoni shida kutuharibia nchi yetu. Mtu mweusi hastaarabiki ht aishi wapi, uko Marekani unaandika matope km haya na kuyaita tetesi. Shenzy bloodfucken
 
Back
Top Bottom