britanicca hii habari ni ya kweli?!Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Hili si mlisema wiki iliyopita kuelekea kesi ya lissu!Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Zwazwa la mamaNaona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama Mlevi wa Gongo
Ng'ombe wa mamaHili si mlisema wiki iliyopita kuelekea kesi ya lissu!
Jembe la lissu,hufanyi kazi mpaka uchomekwe mpiniNg'ombe wa mama
Hao kina Muliro washamba tuJumanne Muliro hakujuwa juu ya kikao hicho? Maanake angeeleka mabomu ya machozi huko kwa CHADEMA kukiuka sheria inayohusisha Jaji wa Zanzibar kuwapiga stop chama kisifanye shughuli zozote wakati akikalia faili la kesi yao!
Mshahara nao lipwa US ata Msigwa msemaji wa serikali yenu hanifikii😁.Sasa wewe Nesi ndo hopelessJembe la lissu,hufanyi kazi mpaka uchomekwe mpini
Chawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Wewe kajamaa ni kaongo ongo, huaminikiChawa wa CCM wamekuwa wakitoa povu Kwa nchi wahisani na kuwapa majina mabaya mara mabeberu, bila kujua ata kutailiwa kwao kulifadhiliwa na mabeberu.
Sahivi Samia ana Hali mbaya kimataifa amechafuka aswaa ata yeye analijua ilo.
Nchi za Umoja wa Ulaya zilitoa statement Kwa serikali juu ya mwendendo mbaya wa Demokrasia Tanzania. Pia
Ubalozi wa Sweden ulitishia kukata misaada yote ya Sweden Kwa Tanzania, hii ilitokana na tabia chafu za serikali.
Samia na Nchimbi ndo wagombea wa CCM, waliona hatari ya kutawala bila hisani kutoka EU. Gafra wakaomba poo na kuomba mkutano wa kukutana nao.
Unaambiwa Nchimbi amepigwa spana aswa. Ameambiwa hamna aibu ya kugomea wenyewe yaani " running against your self" afu mnaita ni uchaguzi. Nchimbi ameambiwa Samia atagombea vipi kama strong contender wake amempa kesi ya uongo.
EU wameshauri yafuatayo.
1. Vyama vyote vishiriki uchaguzi
2. Lissu aachiwe huru .
3. Serikali ifanye mazungumzo na chadema wamalize tofauti zako.
N.B delegation ya Chadema ilikutana na Mabalozi siku chache zilizopita.
Mto wa Mbu,
Illinois -USA
Nchimbi ni mbobevu wa diplomasia lakini 😄Nchimbi alimanusra atoe kamasi
Diplomasia ya Madagascar labda huyu akiwekwa oval office Kwa Trump atatapikaNchimbi ni mbobevu wa diplomasia lakini 😄
Ukimuamini baba Yako inatoshaWewe kajamaa ni kaongo ongo, huaminiki
Ujinga tuUkimuamini baba Yako inatosha
Hayo makamasi yaliyojaa kwenye fuvu la kichwa chako badala ya ubongo yanatosha kumsifia yule muuaji wa kizanzibari tu pumbavu kabisa.Naona unajitekenya na kujichekesha Mwenyewe kama Mlevi wa Gongo
Na iwe hivyo Tanganyika yetu iponeNamuomba Mungu amchukuwe Samia kabla ya october.