Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Wasomi hewa ambao hawana mchango wowote nchini , kwa mfano Profesa Ndalichako ameleta mageuzi yapi kwenye sekta ya elimu nchini pamoja na uprefesa wake zaidi ya kufokea fokea tu watendaji walio chini yake ili aonekane kwa bosi wake kuwa anafanya kazi.Magufuli anataka wasomi tu, nothing else.
CCM inawaza uchaguzi wa 2020 kuliko chochote kwa mtukufu anaogopa akitoka ikulu ataweza kuondolewa kinga kama kule malawi walivyofanya, yupo tayari hata kumeza watu ili mradi arejee ikulu kulinda kinga yake ili mwaka 2025 apachike mtu ambaye atailinda kinga yake na madhambi yake yoteAngalia vizuri walioteuliwa, vijana wote wenye umri wa miaka 20+ wenye shule na waliogombea na kupata kura chache wamepitishwa kugombea lengo ni kuweka damu changa katika system za chama, CCM haiwazi uchaguzi wa 2020 inawaza pia wa 2030.
Adad ameshinda kwa kura nyingi za wajumbe..Ila tuwe tu wakweli, hivi Adadi Rajabu ni wa kushindwa na MwanaFA? Hebu afanye maamuzi magumu tuone nini kitafuata!
Adad Rajab hawezi kwenda popote kwani akifanya hivyo ajue mtukufu atamwandama watambambikia kesi kibao za uhujumu uchumi afungwe aoezee jela.Kama akiamua kwenda upinzani atashinda mchana kweupe.Shida ni kuwa anaweza kwenda upinzan afu akajiuzulu.Yakaanza kutokea yale ya kina luwasa na Simaye
Yes, sina hofu na hili! Naamini hivyo piaMbona Magufuli ni mtu wa haki sana ,
Wanaojiita wasomi huko CCM wengi ni wasomi feki feki waliiba mitihani wamenunua vyeti, kipimo cha Usomi huwa ni busara weledi na hekima ya mtu, hivyo vyote hawanavyo wanaojiita wasomi huko CCM.Mwakymbe hajasoma, tangu siku alipoyakana yaliyomo kwenye tafiti iliompa PhD, kielimu alijifuta.
Wasomi wenyewe ndio kina kibajaji na msukuma?!!!Magufuli anataka wasomi tu, nothing else.
Kuna uzi wa Kigogo alivyoamsha dude Twitter leo umefutwa kufumba na kufumbua.
Yule kigogo original amerudi ?Wanapaharibu sana na matokeo yake wengi humu watakimbilia Twitter na kulowea kule kama hawataachana na huu uminywaji wa habari nyeti.
Yule kigogo original amerudi ?
Unamjua Adad rajabu? Au nawe umepotezwa na mtoa postMagufuli anataka wasomi tu, nothing else.
Pamoja na ile ya kiwanda cha madawa ya kulevya iliyosababisha apewe ubalozi SA kwa muda.Adadi mpuuzi kwa CV yake akiwa polisi hadi ukamishna alikuwa na cv ya tuhuma kibao cjui hata CCM walimtoa wapi kuingia bungeni, ukiwa polisi ni polisi tu you don't change ur no. into a name again, sasa awaongoze hao vibaraka namna ya kukamatwa na yeye ajiunge nao
Taletale Ana shule gani? Au kibajaji lusinde?Angalia vizuri walioteuliwa, vijana wote wenye umri wa miaka 20+ wenye shule na waliogombea na kupata kura chache wamepitishwa kugombea lengo ni kuweka damu changa katika system za chama, CCM haiwazi uchaguzi wa 2020 inawaza pia wa 2030.
Nimesema wenye umri wa 20+, hao waliongoza Kura na wako abaveTaletale Ana shule gani? Au kibajaji lusinde?
Ila yule originale alinipiga tofali maana nilikuwa namponda sana. Na yeye kama Magufuli hapendi kupingwa.Huyo huyo si yule FAKE pandikizi la lumumba
Ni kweli kabisa.Watu wataogopa kuhama saivi.Ila wakibak naamini watapewa majukumu mengineAdad Rajab hawezi kwenda popote kwani akifanya hivyo ajue mtukufu atamwandama watambambikia kesi kibao za uhujumu uchumi afungwe aoezee jela.