Adadi tu mwenyewe aamue, tunajua Adadi ni mtu wa system na ni mtu anayeheshimu system na kuitekeleza. Atavumilia na kuyakubali maamuzi ya dhulma haya.
Ila adadi akiamu kujiunga na chama chochote cha upinzani hata chauma, bora mgombea ni yeye basi anachkua jimbu bila shida yoyote, hata wakija akina Magu, kikwete na Kinana ambao wanaheshimika na kukubalika, kumfanyia campaign huyu aliye chaguo lao, Adadi ataibuka kidede.
Hawa hawatujui wanabonde, sisi tu watu wa heshima, wapole lakini hatupendi kiburi na dhuluma.