pandagichiza
JF-Expert Member
- Jul 9, 2013
- 5,248
- 3,663
Toa na wewe ya kwakoTo be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,
Nchi hii ukifanya jambo lolote ukamhusisha Makonda lazima litadoda! Huyo jamaa ni nuksi kwelikweli!‘...Magufuli baba lao... Makonda baba lao... Majaliwa Baba lao...Pohamba baba lao... dangote baba lao...’
Wenzio ukijumlisha na tanasha wanamuita lips denda 😀 😀 😀nimeona kwenye video eti wanachez ukuti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...domo hana jipya uwezo wake umefika omega#R.I.Pdomo
Na ndo tunalenga ndani na ni hitIle tabia ya kujifanya unatoa nyimbo mpya kila siku ndio haswa imemponza huyu msanii na kujikuta kuishiwa uwezo wa kutunga nyimbo mpya ili kuweza kukata kiu ya mashabiki wake.
Hili swala la kugelezea kazi za wasanii wenzie wa kimataifa rejea nyimbo ya Soapy ni dalili ya wazi kabisa kuwa msanii huyu anajiondoa katika medani za kimataifa kwani mafanikio ya wimbo kama huu wa baba lao hautaweza kumuweka katika mizani yoyote ya kimataifa zaidi zaidi ni kwa matumizi ya ndani ya nchi hususani vijijini tu.
May be kwako but BABA LAO ni more than pinTo be honest Wimbo wa Diamond unaoitwa Baba lao ni wimbo mbovu saaana, unaweza ukatoa back to back Ila kama Ngoma ni Kali wala hamna taabu , kumbe idea ya Kiba inaweza ikawork ,unatoa Ngoma moja lakn ya ukwel, mshumaaa ni bonge la pini,
Fact‘...Magufuli baba lao... Makonda baba lao... Majaliwa Baba lao...Pohamba baba lao... dangote baba lao...’
BABA LAO IMEWAAMSHATeam Alikiba huwa Hanna tabia ya kujionyesha imekuwaje tena humu mmejazana?
Sasa mbona umeimba au hujui maana ya BABA(mzazi wa kiume/gentle), LAO(mkuu),siumeshaelewa sasa kakojoeMim cjaona cha maana kilicho imbwa...baba lao
Mme wako huyo muheshimuWewe mke wao
Well saidKama unaona kaimba pumba bas penda hata beat na anavocheza kwenye video.. unajua mashabiki wa diamond hawampendei kuimba tuu.
Kuwanyamanzisha hata wajukuu wake inatosha kwa beat Kali MAGU BABA LAOHiyo nyimbo imemsaidiaje Bibi wa kijijini kupata maji safi?
In Yericko Nyerere voice
Wimbo wa kampeni huoBABA LAO IMEWAAMSHA
Shule muhimuEnglish tabu
Kiswahili tabu
Kugelezea ndio nini?
Ndio umemaanisha kuiga? Basi ni kuigilizia
Na kama song ni moja huitwa wimbo sio nyimbo (wingi)
Sema kwako,nenda sodoma&gomora shenzinimeona kwenye video eti wanachez ukuti.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...domo hana jipya uwezo wake umefika omega#R.I.Pdomo