Kilichomponza Diamond ni hiki

We nae Abdu kiba mziki umekushinda unaongea nini hapa,toa nyimbo yako tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
‘...Magufuli baba lao... Makonda baba lao... Majaliwa Baba lao...Pohamba baba lao... dangote baba lao...’
Wimbo unasumbua kila kona ya afrika n maeneo ya dunia alafu mtu anakuja na uzi mbofu mbofu.
Ingia youtube andika baba lao challenge au baba lao reviews, angalia hadi wahindi wamekalishwa.
 
Huu wimbo unaonekana kama umetolewa kwa ajili ya maandalizi ya kampeni vile maana unafaa sana ukiu-twist maneno...
 
DJ Khalid ana songi moja linaitwa Just Us ukianza kuusikiliza hio nyimbi inafanana sana na Mis Jackson ya Outkast sampling kwenye miziki ni kawaida sana
 
Sina mapenzi na mziki wa aina yao, so simshabikii yoyote ila uwa nashangaa Sana watu wanaowa battle Diamond na Alikiba, Mbona ni watu tofauti Sana kimafanikio n. k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…