Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 4,897
- 7,074
We nae Abdu kiba mziki umekushinda unaongea nini hapa,toa nyimbo yako tuone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huku kutaka kutoa nyimbo kila siku ndio kuna mponza basi tu sababu mashabiki tusha kua kma misukule tuna jifanya nyimbo kali, usikiliza huo wimbo yaani ame unga unga nyimbo za watoto na Yope kanyaga kanyaga kwa mbali yaan vurugu tupu kati ya nyimbo mbovu alizo wahi kutoa hii ni top