Na kama ndivyo ulivyomaanisha toka moyoni mwako basi damu isiyo na hatia ya wale wote iliyomwagika juu ya ardhi hii ikawe laana kwako na kizazi chako.Hajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
Mabaya yote ambayo hayajachukuliwa hatua ni wazi jiwe amehusika hivyo hawezi jichunguza na kujichukulia hatua na ujinga huu miaka yote unafanywa na ccm hivyo viongozi wote wakubwa wa ccm ni waovu wanajuana na wanalindana hasa linapokuja swala la uchaguzi. CCM haitaachia madaraka kwa kura bali itatoka madarakani kwa NGUVU YA UMMA kuanzia 29.10 tutaanza kugawana mbao za mtumbwi tanzania. Wanapolia chadema na ccm utarudi walie sawa hiyo ndio namna pekee ya kulikomboa taifa hili tofauti na hapo wimbo utakuwa uleule ccm mbele kwa mbele mileleKILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA
Na, Robert Heriel
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa nini sitomchagua Magufuli, nini ambacho Magufuli amekifanya kibaya mpaka asipewe nafasi ya pili kuliongoza taifa letu. Pengine hata Magufuli mwenyewe hajui kwa nini watu hawatamchagua hiyo tarehe 28/10/2020.
Siku ya Leo nitaelezea kilichomponza Magufuli mpaka kufikia akakosa kura ya Taikon na kura ya Watanzania wengine.
Niseme wazi kuwa, Rais Magufuli angeweza kuwa Rais Bora sana tena ambaye watu wangejivunia naye na kumkumbuka kizazi na kizazi kama yasingetokea baadhi ya mambo ya kutisha ndani ya nchi yetu. Lakini sio hivyo, Magufuli sio Rais Mzuri, sio Rais bora na hatakuja awe Rais bora mpaka kiama.
Rais Magufuli hata angeibadilisha Tanzania kuwa Mbinguni, hata angefanya mabomba yatoe maziwa, hata angelipa kila mtu mshahara mnono, bado kuna mambo nyeti yangemharibia.
Hakuna chenye thamani hapa duniani kama uhai wa mwanadamu. Haijalishi mwanadamu yukoje, masikini au tajiri, mwema au muovu, mwenye elimu ima asiye na elimu, kila mtu uhai wake unathamani na unastahili kuthaminiwa. Haki ya kwanza hapa duniani ni haki ya kuishi. Hata kama binadamu amefanya makosa yanayostahili adhabu ya kifo bado anayohaki ya kupewa haki zake ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu za kumpa adhabu hiyo ya kifo. Sio mtu auliwe kama panya, mtu sio panya. Yaani auawe tuu kiholela.
Thamani ya uhai wa mtu ni kubwa na ndio maana kuna utaratibu wa mahakama wa kisheria wa namna ya kuadhibu watu. Na sio watu kuuawa kama panya.
Nilipishana na Magufuli na upendo wangu ulipoa kwake baada ya matukio kadhaa ya utekaji na mauaji kutokea. Sisemi nani anahusika, lakini nasema wenye jukumu la kuchukua hatua za kufanya uchunguzi na kuhakikisha ulinzi wa kila mwananchi.
Magufuli kama Rais amekuwa akimtaja Mwenyezi Mungu bila shaka akimaanisha aliyeumba mbingu na nchi. Hii inanifanya nihisi huenda anahofu ya Mungu lakini ninapofikiri suala la waliouawa na kuteka na wengine kupotea kabisa bila hatua zozote kuchukuliwa inanipa hofu. Je serikali haijali watu hao, je watu hao uhai wako haukuwa na thamani?
Pengine kuna watu walimhujumu Mhe. Rais kwa kuua watu, kuteka na wengine kuwapoteza. Lakini kama huu ndio utetezi wangu na wengine wanaofikiri kwa namna hii ili kumtetea Magufuli kuwa alihujumiwa. Swali linalokuja kwa haraka ni hili; Je Magufuli kama Rais alichukua hatua gani kuonyesha hisia zake za uchungu na kuchukua hatua za kimamlaka dhidi ya matukio hayo yakidhalimu yasiyo ya kistaarabu.
Mimi kama Taikon, licha ya kuwa kijana mdogo lakini akili yangu haipatani na kiongozi asiyejali maisha ya watu. Huwezi sikia watu wanatekwa, wanauawa, wanajeruhiwa alafu wewe kama kiongozi usichukue hatua yoyote.
Biblia inasema; Mpende jirani yako kama nafsi yako ilivyo. Binafsi siwezi sema waliouawa hawanihusu, sio ndugu zangu japo ni kweli huenda hawanihusu, na pengine sio ndugu zangu kwa ukaribu lakini kwa umbali tuna undugu wa kibinadamu. Lazima tujali hisia za watu wengine.
Magufuli kilichomponza ni mauaji, utekaji, na baadhi ya watu kujeruhiwa na watu ati wasiofahamika alafu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Hivi watu hao walikuwa ni panya?
Binafsi niliumia na nitaendelea kuumia kama hakuna hatua zitakazochukuliwa.
Mtu azae mtoto alafu watu waitwao wasiojulikana waje waue tuu watakavyo. Unaumba kiumbe cha Mungu, wakati huwezi kuumba hata Nzi! Mtu anauawa alafu hakuna kinachofanyika utadhani amekufa panya buku. Inasikitisha.
Huwezi sema unajali watu kwa kuwanunulia mandege, sijui kuwajengea maghorofa, kujenga mabarabara, hata ungejenga pepo hapa duniani kama hujali maisha ya binadamu basi hakuna ulichokifanya.
Biblia inasema; itakufaa nini upewe dunia nzima lakini unyimwe uzima wa milele.
Kumaanisha, uhai ndio jambo la thamani kuliko chochote hapa duniani.
Uhai wa mtu ukiondoshwa ndio umeondoshwa, hata ufanyeje hauwezi kurudi. Hata ungenunua magari, hata ungejenga sijui kitu gani bado uhai uliotolewa hauwezi kurudi.
Magufuli kuna kitu unapaswa ufanye, najua wewe mwenyewe inakuumiza kuona umeshindwa kufanya wajibu wako kama Kiongozi mkubwa hapa nchini.
Chukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa. Watu hawawezi kuuawa kama Panya, mtu sio panya.
Namkubali Mhe. Rais kwa mambo mengine lakini jambo moja la kushindwa kuchukua hatua kwa waliofanya mauaji, utekaji na kuwapoteza na kujeruhi watu namuondoa kwenye viongozi bora.
Mwisho niseme; Hii dunia mtawala ni mmoja na huyo ndiye tunayemtumikia na kufuata sheria zake. Ndiye Mungu aliyeumba kila kionekanacho na kisichoonekana. Huyo ndiye hakosei, huyo ndiye tutamsapoti kwa kila jambo hata kama mambo mengine yatatuumiza sisi wenyewe. Tutaheshimiana na kupendana sisi kwa sisi kama binadamu. Tutaonyana na kuelekezana sisi kwa sisi kama binadamu kwa upendo.
Kama mtu iwe wewe, yule au mimi hatakubali kuonywa na akatumia mabavu aidha kwa cheo chake, uweza na mamlaka, au sifa nyingine ambayo Mungu amempa, akatutisha basi namwambia yeye au wewe/mimi huna la ziada na huwezi kutisha watu kwa Uovu bali watu hutishwa kwa wema kwa maana kila afanye wema na haki huogopwa na hupendwa. Na kila afanyaye uovu hudharauliwa na kuchukiwa.
Narudia; Mtu sio panya mpaka umfanyie vile utakavyo ukadhani hutachukiliwa hatua zozote. Sisi tutasema na Mungu wetu atalipa kwa wakati autakao. Kunyamaza kwetu ni kuhalalisha na kuruhusu maovu yaendelee.
Magufuli siwezi kukuchagua kwa sababu umeshindwa kuchukua hatua za waliofanya udhalimu wa roho za watu na kujeruhi watu.
Watanzania tupendane, jali maisha ya mwingine kwa maana hivyo ndivyo impasavyo mtu.
Nimemaliza, mwenye swali leo anaruhusiwa kuuliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Dar es salaam
Nilkona mjumbe moja akisema kuwa kushinda ccm hakutegemei haki wala kweli ya Mungu. Ni lazima ccm itawale. Nikaona mwingine wa kutoka Zenji aliyesema kuwa hatuwezi kubadilisha utawala kwa kuweka alama ya V kwenye vikaratasi. Mwingine akasema lazina Magufuli atawale miaka yake 10. Hawa wote ni watu wakubwa huko kwenye system. Wameapa kuwa lazima iwe kwa udi au kwa uvumba. Kazi kwenu Wapinzani.
Hivi mtu akiwa katika majukumu ya kazi akapigwa risasi na kupelekwa hospital ambapo kila mtu alishuhudia unasemaje katoroka kazini huyo?Hajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
Mkuu nikuqmbie watu tunafahamiana kwa mitizamo/misimamo yetu kisiasa humu JF na hata huko mitaani. Jiandae kwa lolote kwanzia sasa. Uchaguzi huu siyo kama zile zilizotangulia.Nilkona mjumbe moja akisema kuwa kushinda ccm hakutegemei haki wala kweli ya Mungu. Ni lazima ccm itawale. Nikaona mwingine wa kutoka Zenji aliyesema kuwa hatuwezi kubadilisha utawala kwa kuweka alama ya V kwenye vikaratasi. Mwingine akasema lazina Magufuli atawale miaka yake 10. Hawa wote ni watu wakubwa huko kwenye system. Wameapa kuwa lazima iwe kwa udi au kwa uvumba. Kazi kwenu Wapinzani.
Atachukuaje hatua dhidi ya wauaji na watekaji wakati yeye ndiye kawatuma?
Ushahidi:
Alikaa kimya yalipotokea.
Alikataza watu kumchangia Lisu damu, kumuombea, kumchangia fedha, kwenda kumuona, kumtibia kama mbunge na hatimaye akamvua ubunge.
John ndiye muuaji.
Kqwuma la mmkoHajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
Ni kweli kabisa Magufuli angekuwa rais bora wa karne,lakini suala la kutokuchukua hatua walau hata kuunda tume ya magungumashi,imemweka pabaya kiasi kwamba watu wanamsapoti Lissu kwasababu anajinasibu kwamba atatetea haki zaKILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA
Na, Robert Heriel
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa nini sitomchagua Magufuli, nini ambacho Magufuli amekifanya kibaya mpaka asipewe nafasi ya pili kuliongoza taifa letu. Pengine hata Magufuli mwenyewe hajui kwa nini watu hawatamchagua hiyo tarehe 28/10/2020.
Siku ya Leo nitaelezea kilichomponza Magufuli mpaka kufikia akakosa kura ya Taikon na kura ya Watanzania wengine.
Niseme wazi kuwa, Rais Magufuli angeweza kuwa Rais Bora sana tena ambaye watu wangejivunia naye na kumkumbuka kizazi na kizazi kama yasingetokea baadhi ya mambo ya kutisha ndani ya nchi yetu. Lakini sio hivyo, Magufuli sio Rais Mzuri, sio Rais bora na hatakuja awe Rais bora mpaka kiama.
Rais Magufuli hata angeibadilisha Tanzania kuwa Mbinguni, hata angefanya mabomba yatoe maziwa, hata angelipa kila mtu mshahara mnono, bado kuna mambo nyeti yangemharibia.
Hakuna chenye thamani hapa duniani kama uhai wa mwanadamu. Haijalishi mwanadamu yukoje, masikini au tajiri, mwema au muovu, mwenye elimu ima asiye na elimu, kila mtu uhai wake unathamani na unastahili kuthaminiwa. Haki ya kwanza hapa duniani ni haki ya kuishi. Hata kama binadamu amefanya makosa yanayostahili adhabu ya kifo bado anayohaki ya kupewa haki zake ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu za kumpa adhabu hiyo ya kifo. Sio mtu auliwe kama panya, mtu sio panya. Yaani auawe tuu kiholela.
Thamani ya uhai wa mtu ni kubwa na ndio maana kuna utaratibu wa mahakama wa kisheria wa namna ya kuadhibu watu. Na sio watu kuuawa kama panya.
Nilipishana na Magufuli na upendo wangu ulipoa kwake baada ya matukio kadhaa ya utekaji na mauaji kutokea. Sisemi nani anahusika, lakini nasema wenye jukumu la kuchukua hatua za kufanya uchunguzi na kuhakikisha ulinzi wa kila mwananchi.
Magufuli kama Rais amekuwa akimtaja Mwenyezi Mungu bila shaka akimaanisha aliyeumba mbingu na nchi. Hii inanifanya nihisi huenda anahofu ya Mungu lakini ninapofikiri suala la waliouawa na kuteka na wengine kupotea kabisa bila hatua zozote kuchukuliwa inanipa hofu. Je serikali haijali watu hao, je watu hao uhai wako haukuwa na thamani?
Pengine kuna watu walimhujumu Mhe. Rais kwa kuua watu, kuteka na wengine kuwapoteza. Lakini kama huu ndio utetezi wangu na wengine wanaofikiri kwa namna hii ili kumtetea Magufuli kuwa alihujumiwa. Swali linalokuja kwa haraka ni hili; Je Magufuli kama Rais alichukua hatua gani kuonyesha hisia zake za uchungu na kuchukua hatua za kimamlaka dhidi ya matukio hayo yakidhalimu yasiyo ya kistaarabu.
Mimi kama Taikon, licha ya kuwa kijana mdogo lakini akili yangu haipatani na kiongozi asiyejali maisha ya watu. Huwezi sikia watu wanatekwa, wanauawa, wanajeruhiwa alafu wewe kama kiongozi usichukue hatua yoyote.
Biblia inasema; Mpende jirani yako kama nafsi yako ilivyo. Binafsi siwezi sema waliouawa hawanihusu, sio ndugu zangu japo ni kweli huenda hawanihusu, na pengine sio ndugu zangu kwa ukaribu lakini kwa umbali tuna undugu wa kibinadamu. Lazima tujali hisia za watu wengine.
Magufuli kilichomponza ni mauaji, utekaji, na baadhi ya watu kujeruhiwa na watu ati wasiofahamika alafu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Hivi watu hao walikuwa ni panya?
Binafsi niliumia na nitaendelea kuumia kama hakuna hatua zitakazochukuliwa.
Mtu azae mtoto alafu watu waitwao wasiojulikana waje waue tuu watakavyo. Unaumba kiumbe cha Mungu, wakati huwezi kuumba hata Nzi! Mtu anauawa alafu hakuna kinachofanyika utadhani amekufa panya buku. Inasikitisha.
Huwezi sema unajali watu kwa kuwanunulia mandege, sijui kuwajengea maghorofa, kujenga mabarabara, hata ungejenga pepo hapa duniani kama hujali maisha ya binadamu basi hakuna ulichokifanya.
Biblia inasema; itakufaa nini upewe dunia nzima lakini unyimwe uzima wa milele.
Kumaanisha, uhai ndio jambo la thamani kuliko chochote hapa duniani.
Uhai wa mtu ukiondoshwa ndio umeondoshwa, hata ufanyeje hauwezi kurudi. Hata ungenunua magari, hata ungejenga sijui kitu gani bado uhai uliotolewa hauwezi kurudi.
Magufuli kuna kitu unapaswa ufanye, najua wewe mwenyewe inakuumiza kuona umeshindwa kufanya wajibu wako kama Kiongozi mkubwa hapa nchini.
Chukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa. Watu hawawezi kuuawa kama Panya, mtu sio panya.
Namkubali Mhe. Rais kwa mambo mengine lakini jambo moja la kushindwa kuchukua hatua kwa waliofanya mauaji, utekaji na kuwapoteza na kujeruhi watu namuondoa kwenye viongozi bora.
Mwisho niseme; Hii dunia mtawala ni mmoja na huyo ndiye tunayemtumikia na kufuata sheria zake. Ndiye Mungu aliyeumba kila kionekanacho na kisichoonekana. Huyo ndiye hakosei, huyo ndiye tutamsapoti kwa kila jambo hata kama mambo mengine yatatuumiza sisi wenyewe. Tutaheshimiana na kupendana sisi kwa sisi kama binadamu. Tutaonyana na kuelekezana sisi kwa sisi kama binadamu kwa upendo.
Kama mtu iwe wewe, yule au mimi hatakubali kuonywa na akatumia mabavu aidha kwa cheo chake, uweza na mamlaka, au sifa nyingine ambayo Mungu amempa, akatutisha basi namwambia yeye au wewe/mimi huna la ziada na huwezi kutisha watu kwa Uovu bali watu hutishwa kwa wema kwa maana kila afanye wema na haki huogopwa na hupendwa. Na kila afanyaye uovu hudharauliwa na kuchukiwa.
Narudia; Mtu sio panya mpaka umfanyie vile utakavyo ukadhani hutachukiliwa hatua zozote. Sisi tutasema na Mungu wetu atalipa kwa wakati autakao. Kunyamaza kwetu ni kuhalalisha na kuruhusu maovu yaendelee.
Magufuli siwezi kukuchagua kwa sababu umeshindwa kuchukua hatua za waliofanya udhalimu wa roho za watu na kujeruhi watu.
Watanzania tupendane, jali maisha ya mwingine kwa maana hivyo ndivyo impasavyo mtu.
Nimemaliza, mwenye swali leo anaruhusiwa kuuliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Dar es salaam
Mwizi mwenzake wa nyumba za serikali Hadi wakawapa mahawara zao ndie aliyemuweka ili kulindana.Nyumba za serikali zimeuzwa kihuni tena kwa mkopo kwa thamani ya nyumba za nyasi kijijini.
Anasomwa kwenye historia.maisha ya binadamu si zaidi ya kula na kunywa mengine ni kuukimbiza upepo.Utafanya fujo mbwembwe zako wee dunia inakuangalia nawe utapita unakuwa history.Utabana wee akija mwingine anaachia sasa nini hii kwann ubebe mizigo mizito Hali we ni mpitaji na si mmiliki wa duniaKwani Yuko wapi Leo ?! Funza wanafanya yao
Umenena vema,hili jambo LA watu wasiojulikana limeleta taharuki kwa sababu watanzania hatukuyazoea haya. Hata akifanikiwa kushinda ni bora akashughulikia jambo hill haraka iwezekanavyoKILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA
Na, Robert Heriel
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza kwa nini sitomchagua Magufuli, nini ambacho Magufuli amekifanya kibaya mpaka asipewe nafasi ya pili kuliongoza taifa letu. Pengine hata Magufuli mwenyewe hajui kwa nini watu hawatamchagua hiyo tarehe 28/10/2020.
Siku ya Leo nitaelezea kilichomponza Magufuli mpaka kufikia akakosa kura ya Taikon na kura ya Watanzania wengine.
Niseme wazi kuwa, Rais Magufuli angeweza kuwa Rais Bora sana tena ambaye watu wangejivunia naye na kumkumbuka kizazi na kizazi kama yasingetokea baadhi ya mambo ya kutisha ndani ya nchi yetu. Lakini sio hivyo, Magufuli sio Rais Mzuri, sio Rais bora na hatakuja awe Rais bora mpaka kiama.
Rais Magufuli hata angeibadilisha Tanzania kuwa Mbinguni, hata angefanya mabomba yatoe maziwa, hata angelipa kila mtu mshahara mnono, bado kuna mambo nyeti yangemharibia.
Hakuna chenye thamani hapa duniani kama uhai wa mwanadamu. Haijalishi mwanadamu yukoje, masikini au tajiri, mwema au muovu, mwenye elimu ima asiye na elimu, kila mtu uhai wake unathamani na unastahili kuthaminiwa. Haki ya kwanza hapa duniani ni haki ya kuishi. Hata kama binadamu amefanya makosa yanayostahili adhabu ya kifo bado anayohaki ya kupewa haki zake ikiwa ni pamoja na kufuata taratibu za kumpa adhabu hiyo ya kifo. Sio mtu auliwe kama panya, mtu sio panya. Yaani auawe tuu kiholela.
Thamani ya uhai wa mtu ni kubwa na ndio maana kuna utaratibu wa mahakama wa kisheria wa namna ya kuadhibu watu. Na sio watu kuuawa kama panya.
Nilipishana na Magufuli na upendo wangu ulipoa kwake baada ya matukio kadhaa ya utekaji na mauaji kutokea. Sisemi nani anahusika, lakini nasema wenye jukumu la kuchukua hatua za kufanya uchunguzi na kuhakikisha ulinzi wa kila mwananchi.
Magufuli kama Rais amekuwa akimtaja Mwenyezi Mungu bila shaka akimaanisha aliyeumba mbingu na nchi. Hii inanifanya nihisi huenda anahofu ya Mungu lakini ninapofikiri suala la waliouawa na kuteka na wengine kupotea kabisa bila hatua zozote kuchukuliwa inanipa hofu. Je serikali haijali watu hao, je watu hao uhai wako haukuwa na thamani?
Pengine kuna watu walimhujumu Mhe. Rais kwa kuua watu, kuteka na wengine kuwapoteza. Lakini kama huu ndio utetezi wangu na wengine wanaofikiri kwa namna hii ili kumtetea Magufuli kuwa alihujumiwa. Swali linalokuja kwa haraka ni hili; Je Magufuli kama Rais alichukua hatua gani kuonyesha hisia zake za uchungu na kuchukua hatua za kimamlaka dhidi ya matukio hayo yakidhalimu yasiyo ya kistaarabu.
Mimi kama Taikon, licha ya kuwa kijana mdogo lakini akili yangu haipatani na kiongozi asiyejali maisha ya watu. Huwezi sikia watu wanatekwa, wanauawa, wanajeruhiwa alafu wewe kama kiongozi usichukue hatua yoyote.
Biblia inasema; Mpende jirani yako kama nafsi yako ilivyo. Binafsi siwezi sema waliouawa hawanihusu, sio ndugu zangu japo ni kweli huenda hawanihusu, na pengine sio ndugu zangu kwa ukaribu lakini kwa umbali tuna undugu wa kibinadamu. Lazima tujali hisia za watu wengine.
Magufuli kilichomponza ni mauaji, utekaji, na baadhi ya watu kujeruhiwa na watu ati wasiofahamika alafu hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa. Hivi watu hao walikuwa ni panya?
Binafsi niliumia na nitaendelea kuumia kama hakuna hatua zitakazochukuliwa.
Mtu azae mtoto alafu watu waitwao wasiojulikana waje waue tuu watakavyo. Unaumba kiumbe cha Mungu, wakati huwezi kuumba hata Nzi! Mtu anauawa alafu hakuna kinachofanyika utadhani amekufa panya buku. Inasikitisha.
Huwezi sema unajali watu kwa kuwanunulia mandege, sijui kuwajengea maghorofa, kujenga mabarabara, hata ungejenga pepo hapa duniani kama hujali maisha ya binadamu basi hakuna ulichokifanya.
Biblia inasema; itakufaa nini upewe dunia nzima lakini unyimwe uzima wa milele.
Kumaanisha, uhai ndio jambo la thamani kuliko chochote hapa duniani.
Uhai wa mtu ukiondoshwa ndio umeondoshwa, hata ufanyeje hauwezi kurudi. Hata ungenunua magari, hata ungejenga sijui kitu gani bado uhai uliotolewa hauwezi kurudi.
Magufuli kuna kitu unapaswa ufanye, najua wewe mwenyewe inakuumiza kuona umeshindwa kufanya wajibu wako kama Kiongozi mkubwa hapa nchini.
Chukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa. Watu hawawezi kuuawa kama Panya, mtu sio panya.
Namkubali Mhe. Rais kwa mambo mengine lakini jambo moja la kushindwa kuchukua hatua kwa waliofanya mauaji, utekaji na kuwapoteza na kujeruhi watu namuondoa kwenye viongozi bora.
Mwisho niseme; Hii dunia mtawala ni mmoja na huyo ndiye tunayemtumikia na kufuata sheria zake. Ndiye Mungu aliyeumba kila kionekanacho na kisichoonekana. Huyo ndiye hakosei, huyo ndiye tutamsapoti kwa kila jambo hata kama mambo mengine yatatuumiza sisi wenyewe. Tutaheshimiana na kupendana sisi kwa sisi kama binadamu. Tutaonyana na kuelekezana sisi kwa sisi kama binadamu kwa upendo.
Kama mtu iwe wewe, yule au mimi hatakubali kuonywa na akatumia mabavu aidha kwa cheo chake, uweza na mamlaka, au sifa nyingine ambayo Mungu amempa, akatutisha basi namwambia yeye au wewe/mimi huna la ziada na huwezi kutisha watu kwa Uovu bali watu hutishwa kwa wema kwa maana kila afanye wema na haki huogopwa na hupendwa. Na kila afanyaye uovu hudharauliwa na kuchukiwa.
Narudia; Mtu sio panya mpaka umfanyie vile utakavyo ukadhani hutachukiliwa hatua zozote. Sisi tutasema na Mungu wetu atalipa kwa wakati autakao. Kunyamaza kwetu ni kuhalalisha na kuruhusu maovu yaendelee.
Magufuli siwezi kukuchagua kwa sababu umeshindwa kuchukua hatua za waliofanya udhalimu wa roho za watu na kujeruhi watu.
Watanzania tupendane, jali maisha ya mwingine kwa maana hivyo ndivyo impasavyo mtu.
Nimemaliza, mwenye swali leo anaruhusiwa kuuliza.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
0693322300
Kwa sasa Dar es salaam
Unaweza ukadhani kua yeye ndie anaeumba binadamu au alieiumba hii nchi yaani unaweza ukadhani yeye ndiye huyo muumba wa mbingu na ardhiKILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA

Kwenye hili Magufuli atapata taabu sana nafsini mwake na hadharani na hata mbele za Mungu.Hajakataa kumchangia damu,sasa damu ingepelekwaje nairobi?,kumwombea mtu mmoja mmoja haikuzuiwa,kilichokatazwa ni mikusanyiko,
Alivuliwa ubunge na ndugai sababu alitoroka kazini,
Kama kumtibia,si chadema walikuwa na hela na zilitosha?
Magufuli amekosa utu, busara, na hekima. Hajali uhai wa watu wengine. Kwake hutoka visasi, dhuluma, ufedhuli, uuaji na roho mbaya.
Utamjuaje huyu ni mpinzani na yule siye?JPM atashinda kwa 55% mtashangaa... kisa wapinzani wengi awapiga jura kwa sababu awana kitambulisho cha wapiga kura.
KatiliKILICHOMPONZA MAGUFULI, HIKI HAPA