Kilichomponza Magufuli: Hakuchukua hatua kwa waliohusika na mauaji, watekaji na waliopotezwa

Status
Not open for further replies.
Aisee yaani wewe leo umeongea ukweli mtupu na kama hili hajawahi kuelezwa na watu wake wa karibu basi kiukweli aone watanzania wengi wanaumia kuhusu unyama uliofanyika ndani ya hii miaka mitano.
 

Kama hayo uliyoandika ni kweli, unategemea JIWE ndiye awakamate hao wahusika wa utekaji na mauaji ya raia wasiyo na hatia? Haiwezekani kwani he is an accomplice to the crimes!!!
 
Baadhi ya mengi uliyosema, ukandamizaji wa mawazo mbadala, kukanyanga katiba, na kuwa alpha na omega vimemharibia sana.
 
Wana Lumumba mbona kimya? Mmepigwa panapouma?
 
Rais Magufuli ndiye Rais. Wengine wanapoteza muda tu. Nchi hii inahitaji viongozi shupavu na wazalendo hasa, wenye uchungu hasa na taifa lao sio mawakala na vibaraka wa mabeberu.
Pumbafu
 
Na sisi tunasema lazima tumfukuze ikulu tarehe 28 October 2020 liwake jua inyeshe mvua atake asitake tumemchoka.
 
Kuna dhana kwa wana CCM kwamba wengi waliojiandikisha kupiga kura ni CCM kitu ambacho sio kweli. Hata kama wangekua CCM lakini jamaa ambae ni nahodha wao kawaumiza kweli kweli,inanikumbusha labour party UK na Brexit.
 
Umenena vema,hili jambo LA watu wasiojulikana limeleta taharuki kwa sababu watanzania hatukuyazoea haya. Hata akifanikiwa kushinda ni bora akashughulikia jambo hill haraka iwezekanavyo
Yaani ikitokea bahati mbaya kapita Mungu aepushie mbali, ndio atakua katiri mara kumi ya sasa ndio maana tunaoona mbali tunasema uchaguzi huu ni kuchagua kifo ama uhai.
 
Ukiona kwenye nyumba uovu unajirudiarudia na baba mwenye nyumba yupo kimya jua una Baraka
 
Hakuna kitu kinachoniudhi kama anavyojifanya mchamungu na kujifanya mnyenyekevu. Nakereka hasa. Huyu jamaa hana uchamungu wowote. Anatumia dini kuficha ukatili na ushetani wake! Hivi kweli binafamu wenzako wanapotea tu hivi hivi kirahisi tu, wewe kimya! Watu wanapigwa risasi wewe kimya! Ben Saanane kapotezwa hivihivi halafu kutwa makanisani viti vya mbele! Ni Mungu gani huyo unayemuabudu?! Hizi laana hakika utaenda nazi kaburini. Na zitaandama kizazi chako chote!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…