Kilichomponza Makonda ndicho hicho kingemponza Magufuli

Mkuu hayo hayana ushahidi, lakini kama ni kweli basi naiwe hivyo usemayo.
Ulisha wahi kumsikia mtu anaitwa Pompeo? Waziri wa Mambo ya kigeni wa Marekani,ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa CIA. Tanzania ina wakuu wa mikoa 26 jiulize bond ya Magufuli na Bashite inatokea wapi mpaka amfukuze kazi Nape kwa kosa alilofanya Bashite?

Huyu mshenzi ameumiza watu wengi Sana na ndiye alisababisha naibu Mkurugenzi wa usalama wa taifa ndugu Makungu kuondolewa na kupelekwa Tabora kuwa RAS. Muulize Roma mkatoriki anajua fika watesi wake na alieleza a to z pale ubalozi wa Marekani
 
Usisahau pia kuwa awamu hii imechukiwa sana kutokana na matendo ya wasiojulikana ambao kimsingi wanaongozwa na huyo Bashite. Hawa watu wasiojulikana ni shetani. Na ibilisi katika maumbo ya binadamu

Kwa hiyo kuchukiwa kwake siyo tu kutokana na kauli pekee bali ni pamoja na kuwa nyumba ya roho ya ibilisi, roho ya utekaji, roho ya mauaji, roho ya kutesa na kupoteza watu.

Matendo hayo hayawezi kufanywa na mtu mwenye Roho wa Mungu. Nchini mwetu, wakiwemo watu wachache wanaomjua Mungu wa kweli, wanaomlilia Mungu kwa nia ya kupata viongozi wazuri, hatuwezi kuwa na viongozi wanaowateketeza wanaoongozwa, eti kwa vile tu wameikosoa Serikali na viongozi wa Serikali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hicho ndicho kinachomuogopesha magufuli kwenye uchaguzi. Hata umo ccm kuna watu wasiompenda wanesubir anguko lake na wapo tyari kumpigia kura mpinzani kuliko magufuli.
 
Wewe nani kakwambia kuwa Makonda anakubaliwa na kila mtu?

Hayo mapenzi yako peleka nyumbani kwa Makonda.
 
Utanitafsiria Mkuu, natanguliza shukrani
Mimi ningekusaidia kutafsiri lkn tatizo lako ni huyo ndugu yako Bashite. Hivi ni kweli hujui kuwa Bashite alisema Roma atapatikana kabla ya Jpili? Is that statement ,does not constitute or rather signify or establish circumstancial evidence?
 
Yaani rais kuwaambia Maengineer hawatumii akili kuona gema ambalo lipo karibu na linaweza kutengeneza daraja fupi unaona ni kosa! ulitaka afanye nini kuhusu mishahara aongeze wakati bado kuna mambo muhimu anamalizia na akija kuongeza anaongeza tuti.
 
Umepatia: ULIMI/KAULI ndizo zinazowaponza. UBABE na MAJIGAMBO yanawahusu watu hawa.
 
Yaani rais kuwaambia Maengineer hawatumii akili kuona gema ambalo lipo karibu na linaweza kutengeneza daraja fupi unaona ni kosa! ulitaka afanye nini kuhusu mishahara aongeze wakati bado kuna mambo muhimu anamalizia na akija kuongeza anaongeza tuti.

Karibu sana, maoni yako nayo yataheshimiwa
 
Mimi ningekusaidia kutafsiri lkn tatizo lako ni huyo ndugu yako Bashite. Hivi ni kweli hujui kuwa Bashite alisema Roma atapatikana kabla ya Jpili? Is that statement ,does not constitute or rather signify or establish circumstancial evidence?

Nafahamu kwa sababu nilimsikia.
 
Jana jamaa wa kyera ulimi umemponza[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…