chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
William Samoei Rutto ameshinda urais. Ushindi wake ni pigo kubwa kwa Chato Dynasty ambao walidhani kwamba Raila angeshinda, basi angetoa support kwa mtu ambaye angegombea urais kwa kundi la JPM hapa Tanzania.
Nadhani mfumo nchini Kenya, baada ya kuona Raila yuko karibu sana na JPM, waliona maslahi ya Kenya yako hatarini, akaundiwa HANDSHAKE ili wamteke arudi Kenya. Mission ikatiki.
Piga picha JPM angekuwa Raisi kipindi hiki! Nadhani angemwaga Kila aina ya msaada kwa Jadong, jambo ambalo lingeingiza nchi zetu katika uhasama.
Sasa Ile mizizi ya mwendazake inafyekwa kitaalamu kabisa. Kenya iko salama, Tanzania iko salama.
Bila shaka Tanzania itakuwa imejaribu ku-influence kidogo Siasa za Kenya kuhakikisha mizizi ya mwenda inachimbuliwa kokote iliko