Kenya 2022 Kilichomponza Raila ni urafiki na ufuasi wake wa sera za Hayati Magufuli, Chato Dynasty waangua kilio, walitarajia awape support 2025

Kenya 2022 Kilichomponza Raila ni urafiki na ufuasi wake wa sera za Hayati Magufuli, Chato Dynasty waangua kilio, walitarajia awape support 2025

Kenya 2022 General Election
Bado mnapambana na marehemu baada ya mwaka sasa unaenda wapili kweli magufuli alikua simba wa Serengeti
Hizo zinafanyika jitihada za kufuta legacy ya Magufuli. Je kutakuwa na mafanikiyo?
 
Ni kweli mkuu, awamu ya tano viwanda vingi wanavyosema walijenga, ilikuwa ni uongo, angalia hata mkoani kwako kama utaona kiwanda chochote
TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini.
 
TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini.
Ule ulikuwa uchumi wa chini, huko chini ndio mnagawanyika, kati, sijui wapi
 
Back
Top Bottom