M Meela JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,851 Reaction score 1,562 Aug 16, 2022 #21 Clever505 said: Inamaana watu wa Kenya hawajamchagua odinga kisa urafiki wake na JPM? We jamaa kiwango chako cha ujinga kimevuka ukomo. Click to expand... Wajinga design hiyo mbona wengi? Kwani Odinga kagombea mara ngapi na kote huko anashindwa?
Clever505 said: Inamaana watu wa Kenya hawajamchagua odinga kisa urafiki wake na JPM? We jamaa kiwango chako cha ujinga kimevuka ukomo. Click to expand... Wajinga design hiyo mbona wengi? Kwani Odinga kagombea mara ngapi na kote huko anashindwa?
M Meela JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,851 Reaction score 1,562 Aug 16, 2022 #22 edwayne said: Bado mnapambana na marehemu baada ya mwaka sasa unaenda wapili kweli magufuli alikua simba wa Serengeti Click to expand... Hizo zinafanyika jitihada za kufuta legacy ya Magufuli. Je kutakuwa na mafanikiyo?
edwayne said: Bado mnapambana na marehemu baada ya mwaka sasa unaenda wapili kweli magufuli alikua simba wa Serengeti Click to expand... Hizo zinafanyika jitihada za kufuta legacy ya Magufuli. Je kutakuwa na mafanikiyo?
M Meela JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 1,851 Reaction score 1,562 Aug 16, 2022 #23 chiembe said: Ni kweli mkuu, awamu ya tano viwanda vingi wanavyosema walijenga, ilikuwa ni uongo, angalia hata mkoani kwako kama utaona kiwanda chochote Click to expand... TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini.
chiembe said: Ni kweli mkuu, awamu ya tano viwanda vingi wanavyosema walijenga, ilikuwa ni uongo, angalia hata mkoani kwako kama utaona kiwanda chochote Click to expand... TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini.
C Chiumbe JF-Expert Member Joined Jun 27, 2017 Posts 566 Reaction score 828 Aug 16, 2022 #24 MUTUYAMUNGU said: "TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO" by Jakaya Mrisho Kikwete a.k.a Born Town Click to expand... BT
MUTUYAMUNGU said: "TANZANIA KUNA VIWANDA VYA UONGO" by Jakaya Mrisho Kikwete a.k.a Born Town Click to expand... BT
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 32,246 Reaction score 31,176 Aug 16, 2022 #25 Clever505 said: Inamaana watu wa Kenya hawajamchagua odinga kisa urafiki wake na JPM? We jamaa kiwango chako cha ujinga kimevuka ukomo. Click to expand... Akili za vijana wa ufipa wanazijua wenyewe.
Clever505 said: Inamaana watu wa Kenya hawajamchagua odinga kisa urafiki wake na JPM? We jamaa kiwango chako cha ujinga kimevuka ukomo. Click to expand... Akili za vijana wa ufipa wanazijua wenyewe.
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 16, 2022 Thread starter #26 Meela said: Hizo zinafanyika jitihada za kufuta legacy ya Magufuli. Je kutakuwa na mafanikiyo? Click to expand... Tayari ishaanza kufutwa huko Kenya
Meela said: Hizo zinafanyika jitihada za kufuta legacy ya Magufuli. Je kutakuwa na mafanikiyo? Click to expand... Tayari ishaanza kufutwa huko Kenya
chiembe JF-Expert Member Joined May 16, 2015 Posts 16,859 Reaction score 28,112 Aug 16, 2022 Thread starter #27 Meela said: TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini. Click to expand... Ule ulikuwa uchumi wa chini, huko chini ndio mnagawanyika, kati, sijui wapi
Meela said: TZ ilitangazwa na WB kuwepo uchumi wa kati. Nasikia hao hao WB wametuporomosha sasa tumerudi wa chini. Click to expand... Ule ulikuwa uchumi wa chini, huko chini ndio mnagawanyika, kati, sijui wapi