Kilichomtoa Dkt. Msonde NECTA ni Kufaulisha sana bila mpangilio, Rais agusia leo, matokeo ya mwaka huu tutegemee heshima NECTA

bloggerboy

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2017
Posts
568
Reaction score
1,217
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
 
HABARI,

kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana,bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahkikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

na imeonekana na hasara kwa serikali kufaulisha kisiasa,tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

sio kama ilivyo leo,ukipata one heshima hakuna tena.
Alisemaje?
 
Duh kwa hyo vijiti vya St Francis girls tutegemee kupungua?

Vip zile shulezake pendwa za TWIBHOKI na GRAINIYAKI yule mama mmilik sijui simu zilikuwa haziish kwa msonde sjui walikuwa marafik?

Uzuri yupo sekta ya elimu tutegemee mabadiriko toka kwake n mtu mwenye maono pia
 
Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
 
Duh kwa hyo vijiti vya St Francis girls tutegemee kupungua?

Vip zile shulezake pendwa za TWIBHOKI na GRAINIYAKI yule mama mmilik sijui simu zilikuwa haziish kwa msonde sjui walikuwa marafik?

Uzuri yupo sekta ya elimu tutegemee mabadiriko toka kwake n mtu mwenye maono pia
Vijiti vya St. Francis vikipungua japo kwa 1% tegemea maafa kwa St. Kayumba huko.
 
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
wewe una ugomvi na Msonde maana naona unakaza nyuzi kumhusu Msonde kila leo. Utadharaulika kwa trend hii
 
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Mtoa mada utakuwa na roho mbaya sana...

Sent from my SM-J610F using JamiiForums mobile app
 
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
Mbona hata hakusema maneno hayo Maza, kamwambia aliyoyafanya NECTA akaongeze huko aendako ndo maana yupo sekta hyo hyo
 
HABARI,

Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.

Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.

Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
 
Kwani matokeo hayapiti Baraza la mawaziri kabla ya kutolewa? Walimuonya akashindwa? Kwa hio inabidi Saint zifeli ndio matokeo yatakuwa sawa? Yaani matokeo yapangwe kabla ya kusahihisha?
Mkuu, siku hizi humu JF kumejaa wajinga. Alichokiandika mleta mada wala hakina mantiki kabisa. Wala haelewi hata michakato ya mitihani inaendaje mpk matokeo kutolewa.

Na wajinga wenzie wanatoa maoni kama mazuzu. Hata hayajiulizi
 
Multiple choice
 
Back
Top Bottom