Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sio kesiNdyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.
Kama anao uzoefu wa kazi miaka mingi zaidi ya 15 anayo elimu ya kutosha kuanzia shahada au masters
Hivyo ni vyeo tu
Maana afisa elimu yeyote technically ni mwalimu.
Muhasibu hawezi kua afisa elimu.
Na walimu ni viongozi by nature na professional wise.