FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Kwani watu wanafaulishwa au wanafaulu? Aache wivu kwa shule za kanisa, mbona Zenji hawafaulishwi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itawafikia tu.Habari iwafikie sawa sawia kama ni kweli.
Umeonaee!Na ujinga huu unatucost sana Watanzania. Leo hii nenda Marekani. Vyuo vikuu karibu vyote walimu wa Kiswahili wanatoka Kenya. Ukiuliza kwa nini utaambiwa kuwa wanafunzi wa Kenya mara nyingi huwa na ufaulu mzuri sana kwenye shahada zao za kwanza (first class) na wanapoomba nafasi za kwenda kusoma nje kama TAs wa Kiswahili wanapata. Na wanaishia kuunganisha jumla kuwa walimu permanent. Sisi wanafunzi 300 eti wanapata first class wawili [emoji706][emoji706]
Uongo bhana mmmmhNjoo site nikupe barua zao ujionee.
Haya bas sawa.Ndugu acha kukariri, siku hiz wakurugenzi wanateuliwa hata hawajawah Kuwa hta kwenye utumish wa umma, sembuse headmaster Tena unakuta amefanya vizuri kwenye kaz yake... Acha watu wale matunda.
Tunakutana nao advance na chuoni, tunawajua vizuri.... waswahili wakibugia kashata na kahawa vibarazani wanajazana upumbavu St. Francis wananunua mitihani! Labda shule nyingine kama kweli huo upuuzi upo ila sio St. Francis. Wale masista walivyo strict na nidhamu na academics wataanzia wapi huo ujinga.
Kaka hata wewe ulipata div zeroHizi mada huandikwa na kuungwa mkono na wenye division zero
Kwani tangu aingie mama kuna form four ngapi au form six waliyomaliza ?au ndio chuki tu kila jumba bovu unamuangushia yyTuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Aligeuza tu,saint Nini kuacha kufaulisha na kuanza kufaulisha saint Kayumba na kuongoza kabisa kitu ambacho si kweli hata kidogo...Tuliwaambia kipindi cha jpm huu ujinga wa sant sijui nini kufaulisha wanafunzi wote ulipotea kabisa sasa umerudi tena kipindi cha mama
Joanah kunywa desperados kwa bili yanguAligeuza tu,saint Nini kuacha kufaulisha na kuanza kufaulisha saint Kayumba na kuongoza kabisa kitu ambacho si kweli hata kidogo...
HAKUNA aliemkamilifu... waswahili wakibugia kashata na kahawa vibarazani wanajazana upumbavu St. Francis wananunua mitihani! Labda shule nyingine kama kweli huo upuuzi upo ila sio St. Francis. Wale masista walivyo strict na nidhamu na academics wataanzia wapi huo ujinga.
lakini hiyo dv 1 ulishawahi kuipata jamani...sema dv3 kweli ila sio 1 nduguHABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
kuna mtu aliitwa magembe kama mnamkumbuka mmmhh tulisoma commerce with bookeepingHii haikuamriwa ama kuanzishwa na Msonde. Mabadiliko ya muundo wa mitihani haianzii na kuishia kwa Msonde.
unatakiwa kuchangia hoja sasa,sio kudhihaki hauko sawa...hoja iko mezani changia kwa muono chanya sio kukashifuMkuu, siku hizi humu JF kumejaa wajinga. Alichokiandika mleta mada wala hakina mantiki kabisa. Wala haelewi hata michakato ya mitihani inaendaje mpk matokeo kutolewa.
Na wajinga wenzie wanatoa maoni kama mazuzu. Hata hayajiulizi
Hapana. Aliyeunganisha physics/chemistry na kufuta Commerce, bookkeeping na agriculture alikuwa Joseph Mungaikuna mtu aliitwa magembe kama mnamkumbuka mmmhh tulisoma commerce with bookeeping
Yani inabidi waweke penati kwa hesabu pia na gs a levelMimi mpaka kesho sikubali hii system ya one ya saba hata wachimbachumvi.
Warudishe system ya zamani za usahishai zile grade za miaka ile
A -81
sio A-70[emoji15]
ili tujue nani ni nani.
Na hio mitihani wakaze kidogo
Tunajenga Taifa ya wachimbachumvi wanaofaulu kwa mseleleko.
Shule za misikiti hazitokuka faulu hata siku moja hata necta akiwa imamu au rafiki yake na mtume.alikuwa anawafaulisha sana shule za makanisa ng'ombe huyu
Mambo ya kutambia chuo yalishapitwa na wakatiKwanza ujue vyuo vikuu vyote vipo chini ya TCU. Kama lecturers wao hawakidhi viwango, hayo ni makosa ya TCU na sio vyuo husika. Chengine, hao graduates wa UDSM na vyuo vingine wengi tunafanya nao kazi. Wa UDSM wengi wao kazi ni kujigamba tumesomea UDSM, tumesomea UDSM. Hata application letters hawajui kuandika!