The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Lakini watakaokosa nafasi wameandaliwa kwenda wapi? Au ndio watatelekezwa? Vyuo vya ufundi vinatosha?HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.