Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Sio kesiNdyo Had Headmaster wa shule kuwa Afisa Elimu mkoa wa Mtwara.
We ulisoma kigonsera au usevya huko au madibira.Tunakutana nao advance na chuoni, tunawajua vizuri.
Ukitaka kuamini, mchukue huyo wa st francis afu advance akasome GVT utaona sasa. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
HahahahaWe ulisoma kigonsera au usevya huko au madibira.
Mkuu umetisha. UDSM wamempa First Degree Shigongo wakijua hakusoma elimu yoyote ya O-Level. Sasa anataka kusoma Masters wanamwambia alete cheti cha form four! Kinyago walichochonga wenyewe sasa kinawatisha! ahahahahaha!!Mambo ya kutambia chuo yalishapitwa na wakati
Udsm chuo cha kawaida tu siku hizi wala hakitishi.
Kimebaki na jina kubwa tu
Hata wachimbachumvi wanasoma udsm siku hizi na wanagraduaate
Andika kwa fact mkuuMkuu umetisha. UDSM wamempa First Degree Shigongo wakijua hakusoma elimu yoyote ya O-Level. Sasa anataka kusoma Masters wanamwambia alete cheti cha form four! Kinyago walichochonga wenyewe sasa kinawatisha! ahahahahaha!!
Fuatilie taarifa kwa yeye wenyewe hasa pale alipokuwa akichangia bungeni hivi majuzi.Andika kwa fact mkuu
Shigongo hajasoma udsm nadhan amesoma tumain
Kama kweli, sawa. Kila mtu avune alichopanda. Tutegemee heshima ya Private Schools kurudi na Shule za kata kuvuta wanachostahili!! Siasa ilipoingilia taaluma tuliletewa ufaulu usio halisia!HABARI,
Kilichomtoa Msonde NECTA ni Kufaulisha sana, bila mpangilio, Rais agusia leo kwa kumwambia kimafumbo kamwacha palepale elimu akahakikishe vijana aliowafaulisha anawajengea uwezo kama sio kuwaajiri kabisa.
Na imeonekana na hasara kwa Serikali kufaulisha kisiasa, tutegemee matokeo ya kuanzia mwaka huu heshima ya div 0ne kurudi.
Sio kama ilivyo leo, ukipata one heshima hakuna tena.
[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Shule za misikiti hazitokuka faulu hata siku moja hata necta akiwa imamu au rafiki yake na mtume.
Sababu hizo shule ziko ziko tu
Alikataliwa Udsm, tutolee uongo wako hapa.Fuatilie taarifa kwa yeye wenyewe hasa pale alipokuwa akichangia bungeni hivi majuzi.