Kilichomwangusha Chibu Dangote BET 2016 ni hiki

Hapa lazima tukubaliane na ukweli Diamond bado ni mchanga sana ingawa anajitutumua. Hivi Diamond ametoa Album ngapi mpaka hivi sasa? Hebu angalia watu aliokuwa anashindana nao wameshatoa albam ngapi?
 
Cha kujiuliza ni vigezo gani vinavyotumika kumpata mshindi mpaka Tuzo hiyo iende kwa DJ BLACK COFFEE na si kwa CHIBU aliyezoaga tuzo zote za MTV na AFRIMMA?
Na kama ushindi unatokana na kura za mashabiki, je BLACK KOFFEE anaweza vp kumzidi DANGOTE kwa followers wengi??? maana shabiki zako ndio wapiga kura wako... au ndo TCRA labda wamechangia majanga kwa mashabiki wa Dangote?
 
B.E.T huyo black cofee alikuwa na hit gani ya kumshida wizkid......... mwaka uliopita walimpa eddy kenzo kwa kigezo kipi ambacho diamon alikuwa hana.... wajinga tuu
maumivu yakuzid muone bwana daktariii
 
Na kilichokianguza wewe ni ufinyu wa mawazo
 
Kweli kabisa mkuu

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Ah ah ah ah ah tutaona threads kibao za kumtetea fake dangote, mm sishangai kwa kukosa hii tuzo tena bado saaaana, yeye aendelee tu kupga mapcha tu
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14]

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
 
Mbona huzungumzii reasons zilizopelekea wizkid, alade na a.k.a kushindwa...coz unareason as if diamond na kahawa ndio walikuwa nominees pekee
 
BLACK COFFEE KAMWE SIJAWAHI KUSIKIA KAZI ZAKE HALAFU NDO KABEBA TUZO
 
Wizkid hakuomba kura naamini alishinda yy ile tuzo Sema kwa kuwa ye ni jeuri ndo wamemfanyia hvyo
 
Mtoa uzi una matatzo c bure. Ebu muongelee wizkid ambaye anajiandaa kufanya show n CB. Y yy amekosa kulko kumuongelea mondi. C bure unataka ata ukawe mfagiaji wasafi records
 
Sbabu ambayo inaleta mantiki kidogo ni ya kwanza. Zingine zote porojo zako tu. Siku zote kwenye ushindani yupo mshindi mmoja. Msanii mwingine aliyekuwa akipewa nafasi kubwa ni Wizkid. Mbona naye kapigwa chini na ana kazi nyingi tu Kimataifa?
sababu ya tatu sijaielewa naona haina mashiko hata mi nilijua ya baba yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…