Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Mimi nlijiunga miaka mingi iliyopita kufuatilia habari za siasa. Ofisi ilinitaka niwe karibu sana na kila habari ya siasa humu ndani hasa kwa kuwa kuna mengi yalikuwa yanaendelea.
Miaka hiyo hbr za uchunguzi nyingi na files nyingi za siri zilikuwa zinaibukia humu. Kuna watu walikuwa wanatema madini kinyama.
Baadaye nikajikuta navisit pia Habari Mchanganyiko na Mapenzi na Mahusiano. Huko kuna wamba/miamba 3 siwezi wasahau.
1. GuDume
2. General Galadudu
3. CHIEF MKWAWA
Hawa jamaa huwa kipindi flani nakaa tu naanza soma nyuzi zao za kale.
Unatak utushawishi, DemocracyMimi nlijiunga miaka mingi iliyopita kufuatilia habari za siasa. Ofisi ilinitaka niwe karibu sana na kila habari ya siasa humu ndani hasa kwa kuwa kuna mengi yalikuwa yanaendelea.
Miaka hiyo hbr za uchunguzi nyingi na files nyingi za siri zilikuwa zinaibukia humu. Kuna watu walikuwa wanatema madini kinyama.
Baadaye nikajikuta navisit pia Habari Mchanganyiko na Mapenzi na Mahusiano. Huko kuna wamba/miamba 3 siwezi wasahau.
1. GuDume
2. General Galadudu
3. CHIEF MKWAWA
Hawa jamaa huwa kipindi flani nakaa tu naanza soma nyuzi zao za kale.
Hizo zote ni zangu....najipigia upatu.Mkuu, kati ya hizo IDs moja ni ya kwako sio? Kwamba umeamua kuja kujimuagia masifa kemkem, ๐๐ au sio mzee babaa?
Ijumaa Mubarak
Mbona kama umeumia sana? Its just normal. They dont need to say anything sababu most of them arent active. But pia they dont need to say anything mimi nime wa appreciate tu. Ila naona kama wewe umeumia sana. Why? Mbona these are minor things. Haya maisha usiwe na stress na makasiriko... Utaishi kwa shida sana dogo. Wewe pambana tu utatoka kimaisha na utagundua maisha ni ku enjoy.Unajisikiaje umewa-tag watu tangu jana na mpaka sasa hawajasema chcht.?
Muhimu: Tujifunze ku-balance shobo
Hizo zote ni zangu....najipigia upatu.
Mbona unamshushua mwenzio...Unajisikiaje umewa-tag watu tangu jana na mpaka sasa hawajasema chcht.?
Muhimu: Tujifunze ku-balance shobo
Hivi hao miamba wapo?Mimi nlijiunga miaka mingi iliyopita kufuatilia habari za siasa. Ofisi ilinitaka niwe karibu sana na kila habari ya siasa humu ndani hasa kwa kuwa kuna mengi yalikuwa yanaendelea.
Miaka hiyo hbr za uchunguzi nyingi na files nyingi za siri zilikuwa zinaibukia humu. Kuna watu walikuwa wanatema madini kinyama.
Baadaye nikajikuta navisit pia Habari Mchanganyiko na Mapenzi na Mahusiano. Huko kuna wamba/miamba 3 siwezi wasahau.
1. GuDume
2. General Galadudu
3. CHIEF MKWAWA
Hawa jamaa huwa kipindi flani nakaa tu naanza soma nyuzi zao za kale.
Watu wana stress zinapelekea wanakuwa na MAKASIRIKO WAKATI WOTE...๐Hivi hao miamba wapo?
Gudume!!
Siku hizi JF inakeraaa
Nimeangalia michango ya uzi hii, nikasikitika tu, watu wako so negative in everything.
Sijui ji stress ama akili?
Nimesahau password yake si unajua miaka mingi. Vipi nawe Unaendeleaje na kudanga na watoto? ๐Gudume bwana.
Sasa si ungeandika tu kwa id yako ya gudume?
Aaaaaah wapi....mi ndugu mwananchi tu kada....Sawa afisa kipenyo
Chizi maarifaGudume bwana.
Sasa si ungeandika tu kwa id yako ya gudume?